Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Munira akumbana na kizaazaa safarini Macau, China (Pt 4)

Munira Mathias, binti wa Kitanzania aliyekuwa akiishi China akitumikishwa kufanya ukahaba, alikimbilia Jimbo la Macau akitokea Guangzhou, baada ya muda wa viza yake kumalizika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watanzania Madanguroni China (Pt. 3): Munira alivyojikuta na ujauzito usiokuwa na baba

Munira anatuma salamu nyumbani Tanzania kuwaeleza adha anayokutana nayo, wasichana wenzake walioko China wanagundua na kumweka kitimoto. Hali inakuwa tete anatoweka.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

WEMA AZUA KIZAAZAA CHINA

Na Mwandishi wetu
KUONESHA ameguswa, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alizua kizaazaa cha aina yake alipomtembelea mwanamitindo Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani nchini China.
Tukio hilo lilitokea juzikati kwenye gereza lililopo Mji wa Macau ambapo Wema aliambatana na meneja wake, Martin Kadinda pamoja na shemeji yake, Petit Man. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu...

 

10 years ago

Mwananchi

RIPOTI: Ziara ya Rais wa China kizaazaa Dar

Dar es Salaam. Ziara ya Rais Xi Jinping wa China aliyoifanya nchini Machi mwaka jana, imezua kizaazaa na kuitia ila sifa ya Tanzania kimataifa, baada ya maofisa waliokuwa wameambatana naye kuhusishwa na biashara haramu ya meno ya tembo.

 

9 years ago

Mwananchi

Makaidi akumbana na kigingi Masasi

Mgombea ubunge Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kupitia Chama cha NLD, Emmanuel Makaidi amepata wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kuendelea kumkataa kwa madai kuwa siyo chaguo lao.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mh Magufuli akumbana na wakati mgumu kwa wafuasi wa Mh Luwassa

The post Mh Magufuli akumbana na wakati mgumu kwa wafuasi wa Mh Luwassa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Mwananchi

Mv Ukara yadaiwa kuzimika safarini

Kivuko cha Mv Ukara kinachofanya safari zake kati ya visiwa vya Ukara na Bugorola wilayani Ukerewe mkoani hapa, kinadaiwa kuhatarisha maisha ya watumiaji kutokana na kuzimika mara kwa mara na kulazimika kuvutwa na boti.

 

11 years ago

BBCSwahili

'Kijana alikuwa safarini kumtafuta mama'

Je unamkumbuka kijana aliyejificha katika gudurumu la ndege na kusafiri kutoka Carlifonia hadi Hawaii nchini Marekani?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani