Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Museveni asifu vita ya ujangili Tanzania

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii nchini, Lazaro Nyalandu wakati wa Mkutano wa 39 wa Dunia wa Utalii uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Kampala, Uganda. (Na Mpigapicha Maalumu).RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni ameimwagia sifa Tanzania kwa jitihada za kupambana na ujangili na kukuza utalii katika ukanda wa Afrika Mashariki.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Tanzania, China kupiga vita ujangili

Balozi wa China nchini, Lu YouqingSERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imesema itahakikisha inasaidiana na Tanzania katika mapambano dhidi ya ujangili, ambapo wametoa msaada wa mashine mbili za kukagua makontena katika bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa

Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

VITA YA UJANGILI


Serikali yapewa  ndege ya kisasa

NA KHADIJA MUSSA
WADAU wa utalii na uhifadhi ndani na nje ya nchi wameendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili, kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.

Tangu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza vita dhidi ya ujangili na kusisitiza kuwa lazima serikali ishinde, matukio ya mauaji ya tembo na faru yamepungua kwa kiasi kikubwa.
Hiyo inatokana na kuimarishwa kwa ulinzi kwenye hifadhi za taifa pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ujangili ni vita ya pamoja’

Jumuiya ya kimataifa imepitisha Azimio la Arusha lenye lengo la kukabiliana na ujangili na kuendeleza wanyama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wananchi washiriki vita ya ujangili’

KAMATI Tendaji ya Umoja wa Wabunge wa Uhifadhi na Matumizi Endelevu ya Wanyamapori imetaka kuwepo kwa ushirikishwaji wa kutosha wa wananchi waishio karibu na hifadhi ili kudhibiti ujangili. Wakizungumza na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kikwete:Vita dhidi ya ujangili

Rais Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu wanyamaporti mjini London

 

10 years ago

Mwananchi

‘Vita ya ujangili inataka dhamira’

>Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema inahitajika dhamira ya kweli kutoka kwa wadau wote katika kutekeleza Azimio la Arusha la kukabiliana na ujangili pamoja na kuendeleza hifadhi za wanyama katika nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Ikweta.

 

11 years ago

Habarileo

Vita ya ujangili sasa kimataifa

Waziri Mkuu, Mizengo PindaTANZANIA imesaini mikataba minne na Jumuiya za Kimataifa na wadau wa kuhifadhi mazingira, kwa ajili ya kupambana na ujangili na uhalifu wa wanyamapori katika hifadhi na mbuga za wanyama Tanzania.

 

10 years ago

Mtanzania

Vita ya ujangili yaanza kuzaa matunda

nyalandu-janNa Mwandishi Wetu, Manyoni
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kumekuwapo na mafanikio katika vita dhidi ya majangili kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, majangili walivamia kwa kasi na kuwaua wanyamapori wakiwamo tembo na faru, hatua ambayo iliibua tishio la kutoweka kwa baadhi ya wanyamapori.
Juzi Waziri Nyalandu alitangaza kukamatwa kwa silaha za kivita zikiwamo bunduki za AK 47 na SMG katika Pori la Akiba la Rungwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani