Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Chuse Abilty – Maumivu

maumivuOFFICIAL

Msanii mpya anaitwa Chuse Abilty ameachia wimbo unaitwa “Maumivu”, Producer Jmonster (Megatown Rec)

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Alikiba — Maumivu

Huu ni wimbo mpya wa msanii Ali Kiba ambao umevuja unaitwa “Maumivu” Producer: Manecky Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bajeti ya maumivu

HATIMAYE Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya, juzi aliwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ambayo kwa mtazamo wa haraka haina jipya kwani imeendelea kuacha maumivu kwa mfanyakazi na mwananchi wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima maumivu

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
Ni maumivu. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kutoka Hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa kwa siku tano kwa kutumia baiskeli ya wagonjwa (wheelchair) kwenda Kituo cha Polisi Oysterbay kuhojiwa kwa mara ya pili.
Askofu Gwajima, alipandishwa kwenye baiskeli hiyo, baada ya kupelekewa na mmoja wa wafuasi ambaye alikuwa amevalia mavazi ya kichungaji.
Wakati akipelekwa katika gari Askofu Gwajima, alionekana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Usiogope maumivu ya leba

TUANZE makala na kifungua mada tukiwasikiliza washkaji wawili wakijadiliana jambo Fulani. Mshikaji 1: Nimefurahia kumsindikiza mke wangu huko kliniki ya wajawazito. Kumbe humo kuna vichekesho. Unajua mke wangu amesoma mpaka...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU YA SHINGO NA MGONGO

Tatizo hili huwasumbua baadhi ya watu wake kwa waume na zaidi ni watu wazima. Tatizo huwapata zaidi watu wa umri wa kati, yaani miaka 35 hadi 45 na huwa makali zaidi katika umri zaidi ya miaka 45. Kazi ambayo mtu anaifanya huchangia kwa kiasi kikubwa hali hii ya maumivu. Zipo sababu mbalimbali zinazochangia hali hii ya maumivu ambazo tutakuja kuziona. CHANZO CHA MAUMIVU Maumivu ya shingo na mgongo hutokana na matatizo kwenye...

 

10 years ago

GPL

MAUMIVU YA MGONGO NA VICHOMI

Tatizo hili la maumivu ya mgongo na vichomi huwapata watu wengi wa rika tofauti, wakubwa kwa wadogo, wanaume na wanawake.Tatizo huweza kuanza taratibu au kwa ghafla kutegemea na chanzo.Vyanzo vya tatizo hili ni vingi na maumivu yanapotokea humkosesha mtu raha na kujihisi mnyonge.Maumivu husumbua sana na kumfanya mgonjwa awe anahudumiwa hospitali mara kwa mara. CHANZO CHA TATIZO
Maumivu ya mgongo huweza kusababishwa na tatizo...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU CHINI YA TUMBO

Tatizo la maumivu chini ya tumbo huwasumbua baadhi ya wanawake huku vyanzo halisi vya maumivu vikiwa vingi tu. Maumivu chini ya tumbo au chini ya kitovu huweza kusababishwa na mambo mbalimbali kama tutakavyoona. Maumivu huwapata wasichana ambao tayari wameshavunja ungo na wanawake watu wazima, ingawa hata wasichana wadogo ambao bado hawajavunja ungo husumbuliwa. CHANZO CHA TATIZO
Chanzo cha maumivu haya kinaweza kuwa...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA

Tatizo hili huweza kumpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno. Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya kiuno...

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani