Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Roberto Ft. Patoranking — Amarula Remix

Hii ni Remix ya wimbo wa Amarula kutoka kwa Roberto amemshirikisha Patoranking kutoka Nigeria. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Roberto wa Amarula kufanya kolabo na msanii wa Tanzania

Msanii wa Zambia anayehit na wimbo wake, Amarula, Roberto pamoja na msanii wa Tanzania Galaxy, wanatarajia kuingia studio kufanya kolabo. Galaxy amesema tayari wameshafanya mazungumzo na msanii huyo na kinachofuata ni kuingia studio. “Kolabo hatujaifanya bado kwa sababu kuna kazi fulani zilitokea. Kwahiyo tukawa tumepanga tufanye siku nyingine kwa sababu si unajua nilikutana naye kwenye […]

 

9 years ago

Michuzi

MWANAMUZIKI ROBERTO AMARULA KUTOKA ZAMBIA KUTUMBUIZA DAR ES SALAAM, DODOMA KATIKA TAMASHA LA INSTAGRAM WIKIENDI HII

Mwanamuziki na mtangazaji wa redio, Roberto Chindaba Banda 'maarufu Roberto Amarula kutoka nchini Zambia (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana , kuhusu onyesho lake atakalolifanya leo katika fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam na kesho ukumbi wa Ngalawa Pub mkoani Dodoma katika Tamasha la Instagram Party Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Freconic Ideaz, Fred Ngimba ambao wamemleta msanii huyo hapa nchini kwa kushirikiana na...

 

9 years ago

Michuzi

MKALI WA SONGI LA 'AMARULA' ROBERTO TOKA ZAMBIA AWASILI NCHINI TANZANIA, ATUA MWANZA PATA MAHOJIANO ALIYOFANYA NA JEMBA FM 93.7

Mtangazaji wa Jembe FM host wa kipindi cha HIT ZONE kinachoruka hewani siku za Jumatatu hadi Ijumaa saa saba mchana hadi saa kumi jioni Timoth Ngalula aka 'Mbaba' akifanya mahojiano na mwanamuziki toka nchini Zambia Roberto ambaye ni mkali wa songi linalokwenda kwa jina la Amarula, ikiwa ni maandalizi ya show yake kali itakayofanyika kesho Jumamosi ya tarehe 3 oct 2015 Jembe Beach Resort Malimbe jijini Mwanza, Kiingilio ni shilingi 10,000/= Kawaida na VIP ni shilingi 50,000/=.BOFYA PLAY...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkali wa Songi la ‘Amarula’ Roberto toka Zambia awasili nchini Tanzania, atua Mwanza pata mahojiano aliyofanya na Jembe FM 93.7

Mtangazaji wa Jembe FM host wa kipindi cha HIT ZONE kinachoruka hewani siku za Jumatatu hadi Ijumaa saa saba mchana hadi saa kumi jioni Timoth Ngalula aka ‘Mbaba’ akifanya mahojiano na mwanamuziki toka nchini Zambia Roberto ambaye ni mkali wa songi linalokwenda kwa jina la Amarula, ikiwa ni maandalizi ya show yake kali itakayofanyika kesho Jumamosi ya tarehe 3 oct 2015 Jembe Beach Resort Malimbe jijini Mwanza, Kiingilio ni shilingi 10,000/= Kawaida na VIP ni shilingi 50,000/=.

BOFYA PLAY...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Lil Kesh Ft. Patoranking — Is It Because I Love You

Lil Kesh is out with yet another banger – “Is It Because I Love You” featuring Patoranking, produced by Young John and Pheelz. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Music: Patoranking Ft Wande Coal — My Woman My Everything

Wimbo mpya wa msanii kutoka Nigeria Patoranking, amemshirikisha Wande Coal na wimbo unaitwa “My Woman My Everything” Delivered in his signatory Patois chant style to a deceptively catchy beat, the Foston Musik/VP Records heavyweight brings his A-game and is complemented by Wande Coal’s soothing voice. ‘My Woman, My Everything’ was produced by Ghana’s Producer of […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Kanye West — When I See It’ + ‘Say You Will (Remix)

Kanye West quietly dropped two new songs on his SoundCloud account on Monday afternoon. The first is a remix to The Weeknd’s “Tell Your Friends,” which he produced, entitled “When I See It.” The under-two-minute track finds Kanye singing in Auto-Tune. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata […]

 

11 years ago

Bongo5

New Music: G-Unit — ‘Loyal (Remix)’

G-Unit (50 Cent, Lloyd Banks, Young Buck, Tony Yayo, na Kidd Kidd) wameachia remix ya hit ya Chris Brown, Loyal. Isikilize hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani