Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Roberto wa Amarula kufanya kolabo na msanii wa Tanzania

Msanii wa Zambia anayehit na wimbo wake, Amarula, Roberto pamoja na msanii wa Tanzania Galaxy, wanatarajia kuingia studio kufanya kolabo. Galaxy amesema tayari wameshafanya mazungumzo na msanii huyo na kinachofuata ni kuingia studio. “Kolabo hatujaifanya bado kwa sababu kuna kazi fulani zilitokea. Kwahiyo tukawa tumepanga tufanye siku nyingine kwa sababu si unajua nilikutana naye kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mkali wa Songi la ‘Amarula’ Roberto toka Zambia awasili nchini Tanzania, atua Mwanza pata mahojiano aliyofanya na Jembe FM 93.7

Mtangazaji wa Jembe FM host wa kipindi cha HIT ZONE kinachoruka hewani siku za Jumatatu hadi Ijumaa saa saba mchana hadi saa kumi jioni Timoth Ngalula aka ‘Mbaba’ akifanya mahojiano na mwanamuziki toka nchini Zambia Roberto ambaye ni mkali wa songi linalokwenda kwa jina la Amarula, ikiwa ni maandalizi ya show yake kali itakayofanyika kesho Jumamosi ya tarehe 3 oct 2015 Jembe Beach Resort Malimbe jijini Mwanza, Kiingilio ni shilingi 10,000/= Kawaida na VIP ni shilingi 50,000/=.

BOFYA PLAY...

 

9 years ago

Michuzi

MKALI WA SONGI LA 'AMARULA' ROBERTO TOKA ZAMBIA AWASILI NCHINI TANZANIA, ATUA MWANZA PATA MAHOJIANO ALIYOFANYA NA JEMBA FM 93.7

Mtangazaji wa Jembe FM host wa kipindi cha HIT ZONE kinachoruka hewani siku za Jumatatu hadi Ijumaa saa saba mchana hadi saa kumi jioni Timoth Ngalula aka 'Mbaba' akifanya mahojiano na mwanamuziki toka nchini Zambia Roberto ambaye ni mkali wa songi linalokwenda kwa jina la Amarula, ikiwa ni maandalizi ya show yake kali itakayofanyika kesho Jumamosi ya tarehe 3 oct 2015 Jembe Beach Resort Malimbe jijini Mwanza, Kiingilio ni shilingi 10,000/= Kawaida na VIP ni shilingi 50,000/=.BOFYA PLAY...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Roberto Ft. Patoranking — Amarula Remix

Hii ni Remix ya wimbo wa Amarula kutoka kwa Roberto amemshirikisha Patoranking kutoka Nigeria. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Michuzi

MWANAMUZIKI ROBERTO AMARULA KUTOKA ZAMBIA KUTUMBUIZA DAR ES SALAAM, DODOMA KATIKA TAMASHA LA INSTAGRAM WIKIENDI HII

Mwanamuziki na mtangazaji wa redio, Roberto Chindaba Banda 'maarufu Roberto Amarula kutoka nchini Zambia (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana , kuhusu onyesho lake atakalolifanya leo katika fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam na kesho ukumbi wa Ngalawa Pub mkoani Dodoma katika Tamasha la Instagram Party Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Freconic Ideaz, Fred Ngimba ambao wamemleta msanii huyo hapa nchini kwa kushirikiana na...

 

11 years ago

CloudsFM

JOH MAKINI APIGA KOLABO NA MSANII CHIDINMA WA NIGERIA

Wiki iliyopita Mkali wa Hip Hop, John Makini kutoka kampuni ya Weusi alidondoka Jijini Nairobi kwa ajili ya dili la kurekodi kipindi cha Coke Studio, kwenye ‘live performance’ John Makini alishare stage moja na mwanadada kutoka Nigeria Chidinma ambaye amewahi kunyakua tuzo za Nigeria Music Video Aawards pamoja na Kora Awards pia amewahi kuwa nominated kwenye tuzo za MTV na Chanel O music video awards, harakati za Joh wakamvuta Chidinma mpaka studio za R.K na kurekodi ngoma.

 

10 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego atenga milioni 60 kukamilisha kolabo na msanii wa Nigeria

Rapper Nay wa Mitego amesema kuwa ametenga bajeti ya shilingi milioni 60 kukamilisha kolabo na msanii wa Nigeria. Nay ameiambia Bongo5 kuwa gharama hiyo inajumuisha gharama ya video ambayo amedai atafanya na Godfather wa Afrika Kusini. “Kolabo sio rahisi kama watu wanavyodhani,” amesema Nay. “Inatakiwa uwe na pesa za kutosha na ujiandae vizuri ndo maana […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kopa kufanya kolabo na Alikiba, Diamond

MALKIA wa mipasho nchini, Khadija Kopa, amesema katika kuchanganya ladha ya muziki kwa wapenzi wake, amepanga kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiwemo Alikiba na Diamond Platinumz....

 

10 years ago

CloudsFM

BOB JUNIOR, CHAMELEONE KUFANYA KOLABO

Staa wa Bongo Fleva,Bob Junior anatarajia kufanya kolabo na msanii wa kimataifa wa nchini Uganda,Jose Chameleone.

Maandalizi ya ngoma hiyo tayari inafanywa kwenye studio mbili ya Sharobaro Music na studio ya chameleone, na itakua ni ngoma inayofuata kutoka kwa msanii Bob Junior.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani