Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Y Tonny — Maritina

Msanii Y Tonny ameachia wimbo mpya unaitwa “Maritina” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BURIANI TONNY BARETTO

Mtoto wa marehemu John-Paul Baretto akisema machache kuhusu baba yake Mzee Ulli…

 

11 years ago

Dewji Blog

New song; My Shitobe by Y-TONNY

IMG-20140619-WA0063

Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa masebene msanii wa bongo fleva Y-TONNY  ambapo mwaka huu wimbo huo ulipata nafasi  ya kua nominiz katika Tuzo za Kill misic awards ila kwasasa Y-tony anakuja na ujio wake wa wimbo mpya ulioandaliwa chini ya muandaaji  wa muziki nchini Tanzania abbah procecer akishirikiana na  Tuddy Thomas.

Kwenye wimbo huu Y-Tonny anazungumzia mapenzi  ya unafiki na uzanditi unaofanya na baadhi ya watu pale unapoamua kumpenda mtu na mwisho wasiku anajalibu kukutenda....

 

11 years ago

Michuzi

TONNY NGOMBALE MWIRU ASIMIKWA KUWA KAMANDA WA UVCCM

 Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi na Waziri  Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha akimsimika Tonny Ngombale Mwiru kuwa kama wa UVCCM kata ya Kijitonyama. Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana kata ya Kijitonyama Tonny Ngombale Mwiru akiwapungia mkono wanachama wa CCM mara baada ya kusimikwa kuwa kamanda wa UVCCM kata ya Kijitonyama. Mjumbe wa kamati kuu ya CCM ambaye pia ni waziri kiongozi wa zamani wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha,katibu wa UVCCM kata ya Kijitonyama Fatuma  ...

 

9 years ago

Michuzi

African in New York Episode 23: Music From The Tanzanian Diapora: The Authenticity of Modern Music

Tina Kakolaki is a Tanzanian born musician who resides in the United States. She sings in Haya, Swahili and English. With two albums already in the market and one still a work in progress, Tina has attracted a significant number of fans worldwide.  As a member of the Tanzanian Diaspora, Tina has embraced both the Tanzanian and the American cultures and her music speaks for itself carrying the message of love. Moreover, Tina has become one of the musicians in the United States who still have...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani