New song; My Shitobe by Y-TONNY
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa masebene msanii wa bongo fleva Y-TONNY ambapo mwaka huu wimbo huo ulipata nafasi ya kua nominiz katika Tuzo za Kill misic awards ila kwasasa Y-tony anakuja na ujio wake wa wimbo mpya ulioandaliwa chini ya muandaaji wa muziki nchini Tanzania abbah procecer akishirikiana na Tuddy Thomas.
Kwenye wimbo huu Y-Tonny anazungumzia mapenzi ya unafiki na uzanditi unaofanya na baadhi ya watu pale unapoamua kumpenda mtu na mwisho wasiku anajalibu kukutenda....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL25 Jul
10 years ago
Bongo503 Oct
Music: Y Tonny — Maritina
11 years ago
GPL
BURIANI TONNY BARETTO
11 years ago
Michuzi25 Jul
11 years ago
MichuziTONNY NGOMBALE MWIRU ASIMIKWA KUWA KAMANDA WA UVCCM