Muulize MO!: Tuandikie maswali yako kumuuliza Mohammed Dewji (CEO wa MeTL Group) tutakuwa na mahojiano naye hivi karibuni
Msomaji na mdau wa mtandao wako wa habari www.modewjiblog.com unakupa nafasi wewe kumuuliza maswali/swali lolote lile Mkurugenzi Mkuu wa MeTL Group, Mohammed Dewji. Maswali yote yatajibiwa na kutolewa ufafanuzi wa kina. Tutakuwa na mahojiano naye karibuni. Asanteni sana.
Utaratibu wa kumuuliza maswali ni kwa kukomenti kwenye post hii kisanduku cha maoni, Zingatia Kanuni na sheria ikiwemo kutotumia lugha zisizo rasmi.
Pia waweza kutoa maoni yako kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ukiwemo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu Mohammed Dewji
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
PoaApp hivi karibuni itakua kwenye simu yako
“PoaApp” ni application mpya ya kitanzania itakayokujia hivi karibuni kwenye simu yako. Kama mtumiaji, utakuwa na uwezo wa kuchati na marafiki zako na ndugu, kusikiliza nyimbo uzipendazo na utaweza kupata habari za kitaifa na kimataifa;vitu hivi utavipata bure kutoka “PoaApp”.
Kwa habari zaidi kutoka “PoaApp’’ tafadhali fuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama;
*Facebook.com/PoaApp
*Twitter:@PoaApp
*Instagram:@PoaApp
Pia waweza kutembelea website yetu ya www.poaapp.co.tz ili uweze...
10 years ago
Mwananchi09 Jun
UCHAMBUZI: Umewahi kumuuliza mtoto wako maswali haya?
10 years ago
Bongo Movies01 May
11 years ago
Dewji Blog07 Oct
FURSA za ajira kutoka MeTL GROUP
Advocates vacancy Internet.pdf by moblog
Jnr Sales – Swahili.pdf by moblog
Snr Sales.pdf by moblog
Technical Psns.pdf by moblog
10 years ago
Michuzi13 Nov
MOHAMMED DEWJI NAMED YOUNGEST BILLIONAIRE IN AFRICA

Net Worth: $2 BILLIONIndustry: DiversifiedCountry of Citizenship: Tanzania Age: 39Number of Jobs Created: 16,800Mohammed Dewji has seen his net worth rise considerably over the past year as his MeTL group, a conglomerate in 11 countries with interests in trade, FMCG and manufacturing, undergoes significant expansion.Click here to view the view the complete profile of Mohammed Dewji
10 years ago
Dewji Blog09 Jan
11 years ago
GPL