Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUVI MPYA YA PISHU KUINGIA SOKONI KESHO

MUVI mpya ya Pishu kutoka Kajala Intertaiment & Baby Black Productions itakuwa sokoni kesho usikose kujipatia nakala yako kwani ndani yake utakutana mastaa wakali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja, Hemedy Phd, Tausi, Senga na wengine kibao. Kajala akiongea na mtandao huu amewaomba mashabiki wake na wapenzi wa filamu za Kibongo kutoikosa muvi hiyo itapatikana sehemu zote Tanzania kuanzia kesho. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

MOVIE MPYA: F.R.E.N.D.z ya Irene Paul Kuingia Sokoni Mwezi Huu

Filamu mpya ya mrembo na mwigizaji wa filamu Irene Paul inayokwenda kwa jina la F.R.E.N.D.z itaingia sokoni  mwishoni mwa wiki hii, pamoja na Irene mwenywe kucheza filamu hii wako pia Yusuph Mlela na  Kennedy Victor. Filamu imetengenezwa chini ya Kalunde & Mama Ntilie na kuletwa kawako na Steps Entertainments.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Irene ameahidi kukutana na mashabiki wake zaidi ya 50 watakao itazama filamu na kujibu maswali atakayouliza.

 “Tarehe 5 mwezi huu, can't thank God...

 

10 years ago

Bongo Movies

KALEKWA:Filamu Mpya ya Richie na Rose Ndauka Tayari Kuingia Sokoni

Ile filamu iliyokuwa ikusubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi,sasa ipo tayari imeshakamilika na inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

Filamu hiyo inayokwenda kwa jina la KALEKWA imefanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment, na inawajumuisha waigiza Single Mtambalike ‘Richie’ na Rose Ndauka ambao kwa pamoja wamekuwa wakitengeneza mvuto mkumbwa kwa mashabika na wapenzi wa filamu hapa inchini.

Jana kupitia ukurasa wake kwenye  mtandao wa instagram, Richie ambaye ndio...

 

11 years ago

GPL

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI LEO

Aisha Bui akiwa na Gabo katika moja ya scene... AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni siku ya jumatatu, itadhihiri kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi. Aisha… ...

 

5 years ago

Michuzi

RC KAGERA AWATAKA WANUNUZI WA KAHAWA KUINGIA SOKONI

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Kahawa Ofisini kwake Mjini Bukoba, leo tarehe 4 Juni 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Bodi ya Kahawa Ofisini kwake Mjini Bukoba, leo tarehe 4 Juni 2020. Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Tanzania Prof Jamal Adam akiteta jambo na Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dawa ya ujangili ni kuzuia nyara kuingia sokoni

Mwaka 2013, uwindaji halali uliingizia Tanzania wastani wa Sh900 bilioni, ikiwa ni zaidi ya asilimia 90 ya mapato ya sekta ya utalii yaliyotokana na wanyamapori.

 

11 years ago

GPL

FILAMU YA MAPENZI YA MUNGU KUINGIA SOKONI WIKI HII



Mwezi, Wiki na Sasa siku zimebaki kwa ile Filamu Mpya na ya Kusisimua ya MAPENZI YA MUNGU Kuingia Sokoni ambayo imewakutanisha wasanii mahiri wa hapa hapa Tanzania ambapo Mmoja kati ya Wasanii waliocheza filamu hiyo Ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya anayejulikana kama Linah Sanga, kwa Kushirikiana na Elizabeth Michael bila Kumsahau Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba watakuwa ndani ya filamu Mpya...

 

11 years ago

Michuzi

FILAMU YA MSHALE WA KIFO KUINGIA SOKONI LEO JUMATATU

 AISHA Fathi ‘Aisha Bui’ anafunguka kwa kutamba kuwa filamu yake mpya inayoingia sokoni leo, itadhihirisha  kipaji chake katika tasnia ya filamu, kwani amewakilisha wazo lake moja kwa moja bila kupigwa alichoandika. Ingekuwa ni kazi ya kushirikishwa isingekuwa rahisi.“Najua kila mtu anakuwa na uwezo wake katika filamu lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi ndio maana mimi nimeamua kutumia kampuni yangu kutimiza ndoto zangu. Wiki hii Yuneda Entertainment...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani