Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUVI YA STRAIGHT OUTTA COMPTON YAFUNIKA KIMAUZO

 Dr. Dre New York, Marekani FILAMU ya Straight Outta Compton imetajwa kuwa ndiyo filamu iliyoweka rekodi ya kuuzwa zaidi kuliko zote ambazo zimewahi kuongozwa na mtu mweusi. Waasisi wa kundi la Straight Outta Compton. Filamu hiyo iliyotoka mwaka huu inazungumzia maisha ya Ice Cube, Dr. Dre na Eazy-E imeongozwa na Gary Gray, imeingiza zaidi ya dola milioni 157.5 ndani ya Marekani na Canada… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

DR. DRE RELEASE NEW ALBUM AS "STRAIGHT OUTTA COMPTON" SOUNDTRACK


Dr. Dre will finally end fans' 16-year wait for a new album when the rapper releases his Straight Outta Compton soundtrack, which will consist of new music entirely produced by The Chronic mastermind, a source tells Rolling Stone. Dre is expected to confirm the album, the companion piece to the N.W.A biopic, on his Beats 1 radio showThe Pharmacy this Saturday. 
Ice Cube appeared on Philadelphia's Power 99 Wednesday morning and let slip the news about Dre's Straight Outta...

 

9 years ago

Bongo5

Muongozaji wa filamu ya Straight Outta Compton F. Gary Gray kuingoza Furious 8

Muongozaji wa filamu ya Straight Outta Compton, F. Gary Gray ataiongoza filamu ya Furious 8. Muigizaji wa filamu hiyo, Vin Diesel alipost picha Facebook akiwa na muongozaji huyo. Mtandao Deadline.com umeripoti kuwa wawili hao walifanya mkutano na kufikia makubaliano hayo. Gray alisemekana kuwa chaguo la kwanza la kampuni ya Universal. Sio jambo la kushangaza kwakuwa […]

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

Mtanzania

TFF yafunika kombe

MESNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeamua kufunika kombe kunusuru aibu iliyokuwa itokee kuhusu sakata la mkataba kati ya Simba na mchezaji Ramadhani Singano ‘Messi’ kwa kuwataka wakutane na kuingia mkataba mpya.
Pande hizo mbili zilikutanishwa jana kufuatia kutokea mgogoro mkubwa baina yao, baada ya Messi kudai mkataba wake wa miaka miwili uliokuwa umalizike mwezi ujao umechezewa na Simba, ambao wanadai unamalizika Julai, mwakani.

Kikao hicho kilichofanyika...

 

10 years ago

CloudsFM

FIESTA YAFUNIKA JIJINI MBEYA

/HH5EPnzPgDIVksWU33GqAJaPj8-8TJI4Y-BEf8URp5*y7fBvmhpNmu*PGWAb7Ur1sR1OtbiO6NzcNzvjq0TAdqCQlWHWLArV/fiesta5.jpg">

 

10 years ago

Mwananchi

Harusi ya Okwi yafunika Uganda

Harusi ya mshambuliaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi imeacha historia nchini Uganda akitumia dola 80,000 ( Sh 160,000 Mil ) kwa ajiri ya kuifanikisha iliyofanyika Jumamosi jijini Kampala.

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI TANGA

Mshindi wa Serengeti Super nyota 2013, Edo Boy akifungua burudani. Young killer akikonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo .…

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI SINGIDA

Msanii wa Bongo Fleva, Linnah Sanga akifanya vitu vyake stejini katika Serengeti Fiesta Singida usiku wa kuamkia leo. Linnah akilishambulia jukwaa.…

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DODOMA

Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo. Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani