Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua nazo zampamba Rais wa Tano

MOJA ya mambo yaliyoambatana na ujio wa Rais mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli, ni mvua za hapa na pale, ambazo zimekuwa zikitokea sambamba na matukio ya kuchaguliwa kwake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TANO MKOANI KIGOMA,AHUTUBIA HUKU MVUA KUBWA IKINYESHA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM itatekeleza kila walichoahidi. Kila mtu alijikinga na mvua kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre Viti vikitumika kujikinga na mvua iliyokuwa inanyesha wakati wa mkutano wa CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanga Community Centre wilaya ya Kigoma mjini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (wa kwanza...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana Mwambata wa Kijeshi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini Brig. Gen Ibrahim A. Kimario, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Olver Tambo jijini Johanesburg kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China.   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati alipowasili...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa China, Xi Jinping, wakati wa Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China (China-Africa Forum) uliofanyika leo Dec 4, 2015 jijini Johannesburg. Mhe. Samia amemwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Shulu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini, Radhia Msuya, wakati...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwenye mkutano wa tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, Jijini Johannesburg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo . (Picha Zote na  OMR).

Makamu...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakika, rais wa awamu ya tano atateseka

Ni dhahiri kwamba rais ajaye wa awamu ya tano nchini mwetu atakuwa na wakati mgumu pengine kuliko ilivyokuwa kwa watangulizi wake wanne.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kikwete ni rais wa watu milioni tano?

RAIS Jakaya Kikwete na Jaji Joseph Warioba wamejibizana kijanja, na wamenikumbusha mchuano wa urais mwaka 2005. Nikakumbuka jinsi Jaji Warioba alivyokuwa shabiki wa Dk. Salim Ahmed Salim, aliyekuwa anawania urais...

 

9 years ago

Habarileo

UVCCM yampa tano Rais Magufuli

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema unaunga mkono kasi ya utekelezaji kazi wa serikali ya awamu ya tano, chini ya Rais John Magufuli na kwamba anachofanyika sasa ndio kiu ya Watanzania.

 

9 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE, KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG, AHUTUBIA LEO MKUTANO WA MWISHO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR
 
Makamu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani