Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua njoo Katarina usije

Lugha ya Kiswahili ina mbinu mbalimbali za maandishi na matamshi zinazoifanya ipendeze. Zaidi ya kupendezesha, mbinu hizo hurahisisha matumizi ya lugha. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JK AMUAPISHA MSAJILI MAHAKAMA YA RUFANI TANZANIA, NI KATARINA REVOCATI

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha, Katarina Revocati (Kulia), kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi Januari 8, 2015Rais akimkabidhi KatibaRais akimpongezaMajaji wakibadilishana mawazoMajaji wakibadilishana mawazoJaji Mkuu, Mohamed Chande Othman (Kulia), akizungumza na Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Asha Rose Migiro wakatiwa hafla hiyo ya kumuapisha KatarinaRais akisalimianana Jaji Mkuu Mohammed Chande OthmanWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi...

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO- DIAMOND ASEMA WASHINGTON DC ITAKUWA CRAAAAZY DEC 6 -TICKET ZINAZIDI KUYEYUKA NUNUA USIJE JILAUMU !

    
TANZANIA ALL STARS -WIMBO MAALUMU WA MIAKA 53 YA UHURU 
$100 (INCLUSIVE)3 COURSE  DINNERBOTTLE OF CHAMPAGNE PER TABLELIVE ENTERTAINMENTCELEB AFRICA TV RED CARPET COVERAGERE KNOWN PROFESSIONAL PHOTOGRAPHER FREE PARKINGCASH BARSPONSORSHIP  LEVELS STILL AVAILABLE TICKET ZINAPATIKANASAFARI RESTAURANT4306 GEORGIA AVENUE,NWWASHINGTON,DC,20011ORONLINEWWW.DIAMONDUSATOUR.COMORCALL301-661-6207 *DMK   240-603-7353*LATIFA240-764-9970*JULIA           202-830-8970*ATHUMANI    240-467-7350*HELENA     ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ateua wasajili wapya Bi. Katarina Revocati Mahakama ya Rufani na Rugalema Kahyoza Mahakama kuu

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kuanzia tarehe 5 Desemba, 2014.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, imesema kabla ya uteuzi huo, Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara.

Vilevile katika Taarifa hiyo, Rais Kikwete pia amemteua Bwana Rugalema J. Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama...

 

10 years ago

Vijimambo

USIJE UKAMTAFUTA MCHAWI KWENYE NDOA YAKO HABARI NDIYO HII JITIRIRSHE MWENYEWE LIVE BILA KING'AMUZI


Sophie Dahl amekuwa kiulizwa maswali kuhusu urefu wake na kimo cha mumewe
Wanaume ambao ni wafupi kwa kimo mara nyingi wanasifika kuwa waume bora kuliko wanaume warefu.
Pia inaarifiwa huwa na busara zaidi kufidia kimo chao, amekiri Adam Gopnik, mwanamme mmoja wenye umbo dogo.Wiki kadhaa zilizopita, wana soshologia wawili kutoka Chuo Kikuu cha New York, walichapisha waraka mrefu ulioangalizia maisha ya watu wafupi.
Utafiti wao ulizua mjadala mkali kutoka kwa kile kinachoweza kusemekana kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali

Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEEEEEEWWZZZZ - JE NI MSANII GANI ATAKAYE WARUSHA ROHO KWENYE BIRTHDAY BASHH YA CCM NEW YORK FEB 21?????..NUNUA TIKETI USIJE JILAUMU -DETAILS DROPPING SOON !

                                   ""AIN'T NO PARTY LIKE A NEW YORK PARTY""
                                                   Tuungane Tuiline Tanzania Yetu



                          
                                         UKUMBI WA RICHI RICH PALACE KWA NJE                          
                                     UKUMBI UNAVYOONEKANA KWA NDANI
                          
                                                  TICKETS PRICE: ADVANCE $40 | DOOR $50
Inclusive of:
*Red Carpet Grand...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: 909 — Njoo Hapa

Kundi la 909 linaloundwa na members watano, limeachia single mpya ‘Njoo Hapa’ “Njoo Hapa ni wimbo unaotoa matumaini kwenye Mapenzi hasa kwa wale walowahi kuumizwa, Your past experiences cant dictate your future happiness. TRUST AGAIN,” wanasema.

 

11 years ago

GPL

OYAAA BONGE NJOO TUBONGE!

SHWARI kitaa hiyooo…ama nini? Aisee arifu kipande hii ni mzuksi kinomanoma. Ebana eeh…lasti wikiendi ilikuwa longi ileile baada ya kuunganishwa na kitu cha holidei mbili za fastafasta chaliiangu. Kuna ishu nyingi ziliteki plesi ikiwemo kuombea kwa Saa Godi muungano wetu na masela wa hapo visiwani Zenji dheni tusake mahela. Huku na huku kachaa nilizama kwenye mitaa kucheki michongo wakati wa holidei. Huko kitaa cha TMK...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani