Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mvua ya mawe yanyesha jijini arusha leo

 Magari yakipita katika moja ya barabara za jiji la Arusha leo huku mvua kubwa ya mawe ikinyesha. Hakuna madhara ya aina yoyote yaliyoripotiwa hadi sasa ila baridi ni kali kiasi Sehemu ya vidonge vya barafu vilivyonyesha jijini Arusha leo

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mvua yaleta maafa Tanga, yanyesha kwa saa nne mfululizo

Mvua zilizonyesha kwa saa nne mfululizo  jijini Tanga zimesababisha kuongezeka kwa maeneo yaliyoathirika na mafuriko huku baadhi ya nyumba zikibomoka na idadi ya waliolazimika kuhama makazi ikiongezeka.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afariji waliopatwa na maafa ya Mvua ya Mawe,Kahama leo

IMG_0488

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, leo Machi 12,2015.

IMG_0513

IMG_0537

Maelfu ya Wakazi wa Kahama wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kutembelea na kujionea athari ya Mvua ya Mawe kwa wananchi wa Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA YA MVUA YA MAWE KAHAMA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.Maelefu ya Wakazi wa Kahama wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kutembelea na...

 

9 years ago

Michuzi

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali

Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o
Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MWANANA ZA JIJINI DAR LEO BAADA YA MVUA YA LEO


Baada ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni eneo la Morogoro Road.
Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.
Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.
Hapa ndio inakuwaga kimbebe,maana daladala ndio lishabuma tena.
Hakuna namna nyingine ya kuyakwepa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AZURU MAENEO YENYE MAWE NDANI YA IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO

 Rais Dk. John Magufuli akiwa kwenye miongoni mwa mawe yaliypo ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, alipoamua kuzuru maeneo yenye mawe hayo, leo. Nyingine ni picha tofauti tofauti akiwa kwenye maeneo hayo ya mawe. (Picha zote na Ikulu



 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA ARUSHA AZINDUA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI, KITAIFA JIJINI ARUSHA LEO.

Washiriki wa maonesho, wananchi mbalimbali wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani iliyozinduliwa katika Kiwanja cha Mpira wa Amri Abeid jijini Arusha leo. Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mrongo aliyazindua maonesho hayo huku akiwataka madereva nchini wawe makini kwa kufuatia sheria za barabarani ili kuepuka ajali. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “Maamuzi yako Barabarani Hatma Yetu-Fikiri Kwanza”. Mgeni rasmi Mkuu...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MVUA JIJINI DAR LEO

Namna hali ilivyo leo katika barabara ya Morogoro road eneo la Jangwani. Baadhi ya nyumba katika eneo la Kinondoni Mkwajuni jijini Dar zilizo bondeni zikiwa zimevamiwa na maji ya mvua.…

 

11 years ago

GPL

MADHARA YA MVUA ILIYONYESHA LEO JIJINI DAR

Magari yakipita katika madimbwi ya maji yaliyotokana na mvua kubwa ya maji iliyonyesha leo kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani