Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua zahofiwa kuathiri mradi wa bomba la gesi

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini, zimejenga hofu ya kuathiri uendeshaji wa Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Vigogo CCM wamechota Sh1.2 mradi bomba la gesi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewatuhumu vigogo wa Serikali kwa ufisadi wa Dola 600 milioni za Marekani, sawa na Sh1.2 trilioni walizotumia katika mradi wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

Mradi wa bomba la gesi asilia kukamilika kama ilivyopagwa - Profesa Muhongo

 Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Joseph Simbakalia akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini pamoja na ujumbe alioambatana nao akiwemo balozi wa China nchini Bw…. Mara baada ya kufika ofisini kwake kuelezea uwepo wapo katika mkoa huo

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe John Simbakalia  akimweleza Waziri wa Nishati na Madini jambo linalohusu sekta ya umeme ambapo Prof. Muhongo anaisimamia ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Mkandarasi anayehusika na usambazaji wa umeme vijijini Bwana  Luta (mwenye...

 

10 years ago

GPL

TPDC YATUMIA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 1.225 KWA AJILI YA MRADI WA BOMBA LA GESI

 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), Michael Mwande akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzungumzia mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam ambapo ujenzi huo umefikia asilimia 94.…

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi ahitimisha Ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua mradi wa bomba la gesi aasilia

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO  Serikali imesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi asilia kutoka Mtwara hadi Dar es salaam unaenda vizuri kulingana na ratiba yake na utakamilika kwa wakati.  Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea kituo cha kufua umeme kwa kutumia gesi asilia kinachojengwa Kinyerezi wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili ya kukagua mradi wa ujenzi wa bomba la gesi jijini Dar es salaam.  Balozi Sefue alisema...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA ENEO LA KINYEREZI LINALOPITA BOMBA LA GESI.


Waziriwa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwaonyesha wanahabari (Hawapo pichani) bomba la Gesi ya Songas liloangukiwa na mawe kutokana na athari za uchimbaji mchanga katika eneo hilo. Picha Charles Kombe.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu (Kulia) akiambatana na Meya wa Manispaa ya Ilala Omari Kumbilamoto (wa pili kushoto) askari wa Ulinzi na viongozi wa ngazi mbalimbali za kiserikali alipofanya ziara...

 

11 years ago

Mwananchi

Gesi kuathiri soko la mafuta

Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara ya Nishati na Madini kuanzia mwaka 1972 hadi 1974, Dk Ben Moshi amekiri kwamba ujio wa matumizi ya gesi katika huduma mbalimbali nchini, unaweza kuathiri kampuni nyingi za mafuta zinazofanya biashara nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Bei ya mafuta kuathiri utafutaji wa gesi Tz

Anguko la bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia huenda likaifanya Serikali kupitia upya baadhi ya mikataba ya utafutaji wa mafuta na gesi ili kuwavutia wawekezaji wengi zaidi.

 

10 years ago

StarTV

Mvua kubwa kuathiri baadhi ya mikoa nchini.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam.

 

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA imetoa mwelekeo ya utabiri wa hali ya hewa wa Januari hadi Februari mwaka 2015 ikitahadharisha kuwepo kwa matukio ya mvua kubwa zenye athari katika mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Lindi,   Katavi, Kigoma na Tabora.

Utabiri wa Mamlaka hiyo umekuja ikiwa ni siku moja tangu kutokea kwa mafuriko ya mvua kubwa iliyonyesha jijini Dar es salaam na kusababisha vifo vya watu wawili.

Aidha, katika utabiri huo Mamlaka ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mitaa kikwazo usambazaji bomba la gesi

Mpangilio mbovu wa mitaa Dar es Salaam umeendelea kuwa mwiba wa upatikanaji huduma za jamii baada ya kuonekana kikwazo kwa mradi wa usambaji wa bomba la gesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani