Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwadui kung’ara bila wa kulipwa

KOCHA wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo, amesema timu yake italeta ushindani kwenye Ligi Kuu licha ya kutokuwa na wachezaji wa kigeni. Julio ambaye aliipandisha Mwadui kucheza ligi msimu huu alisema Tanzania hakuna wachezaji wa kigeni ambao wanatisha na kuzishangaa timu zinazowapapatikia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ATC kung’ara angani

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake. Miongoni mwa taratibu zinazosubiriwa ni kwa serikali kulipa madeni makubwa ambayo ATC ilikuwa inadaiwa ili kuweka mizania sawa ya vitabu vya hesabu za fedha.
Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy, alisema...

 

11 years ago

Dewji Blog

ATL Kung’ara Angani

atl

Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATC, Kapteni Milton Lazaro, katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam.

NA MWANDISHI  WETU

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake.

Miongoni mwa taratibu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Djokovic aendelea kung'ara

Novak Djokovic ameendelea kuongeza mataji ya mchezo huo na sasa yamefikia saba.

 

11 years ago

GPL

ATL KUNG'ARA ANGANI

Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATC, Kapteni Milton Lazaro, katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam.
SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yazidi kung’ara kimataifa

TANZANIA imeendelea kupata miradi mikubwa ya maendeleo ya kimataifa, ambapo sasa imeibuka kuwa mshindi kimataifa na kukubaliwa kuanzisha mradi mkubwa wa Kanda ya Kati wa Uchukuzi. Mradi huo utakaohusisha miundombinu ya reli, barabara na bandari unatarajiwa kuanza kutekelezwa wakati wowote nchini.

 

9 years ago

StarTV

JKT Oljoro wazidi kung’ara.

Wafunga buti wa JKT Oljoro kwa mara nyingine wametoka na ushindi baada ya kuwachezesha gwaride wachimba madini wa Geita gold sports mabao 2- 1 mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Jijini Arusha.

Maafande hao wa JKT Oljoro wameutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani mara baada ya kuinyuka timu ya Geita gold sports magoli 2 kwa 1 mchezo ambao ulianza kwa kasi kwa kila timu kuonekana kuupania mchezo huo uliotimua vumbi katika viunga vya Sheikh Amri Abeid...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Al Jazeera Band yaanza kung’ara

MASHABIKI wa mipasho lenye maskani yake jijini Dar es Salaam, wameonekana kukubali vitu vya kundi la Al Jazeera Band. Hiyo ni kutokana na wapenzi na mashabiki wengi kujitokeza kwa wingi...

 

10 years ago

Mwananchi

Endelea kung’ara wakati wa Ramadhan

Ni mara nyingine tena tunakumbushana namna ya kujiweka nadhifu huku ukibaki kwenye stara katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania yatamba kung’ara Feasssa

Wakati pazia la michuano ya 13 ya Shirikisho la Shule za Sekondari Afrika Mashariki na Kati (Feasssa) likifunguliwa asubuhi hii, makocha wa timu za Tanzania wamewatoa hofu mashabiki wakisema wamejipanga kubakisha ubingwa nyumbani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani