ATL KUNG'ARA ANGANI
Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATC, Kapteni Milton Lazaro, katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam. SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog23 May
ATL Kung’ara Angani
Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATC, Kapteni Milton Lazaro, katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam.
NA MWANDISHI WETU
SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake.
Miongoni mwa taratibu...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jRpNDPXFsrY/U3zF-a_G0xI/AAAAAAAFkLg/QE3UpDLnPmw/s72-c/ATCL+7.jpg)
ATC kung’ara angani
![](http://4.bp.blogspot.com/-jRpNDPXFsrY/U3zF-a_G0xI/AAAAAAAFkLg/QE3UpDLnPmw/s1600/ATCL+7.jpg)
Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy, alisema...
10 years ago
GPLNYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG'ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YgG3jVtvJ8sVPsLYdOZFGVD-vowUKB6Ix7cfpAH-o6gxxrQ2-3KLWihz2rAOgkFxq06oUNKz7ChkJRtOikN6sCi/DIDA.jpg?width=650)
DIDA AZUA TIMBWILI BAADA YA KUNG'ANG'ANIWA NA MWANAMKE MWENZAKE
11 years ago
Tanzania Daima22 May
ATCL kung’araa angani
SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) lipo mbioni kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake. Miongoni mwa...
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Djokovic aendelea kung'ara
9 years ago
StarTV04 Nov
JKT Oljoro wazidi kung’ara.
Wafunga buti wa JKT Oljoro kwa mara nyingine wametoka na ushindi baada ya kuwachezesha gwaride wachimba madini wa Geita gold sports mabao 2- 1 mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Jijini Arusha.
Maafande hao wa JKT Oljoro wameutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani mara baada ya kuinyuka timu ya Geita gold sports magoli 2 kwa 1 mchezo ambao ulianza kwa kasi kwa kila timu kuonekana kuupania mchezo huo uliotimua vumbi katika viunga vya Sheikh Amri Abeid...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Tanzania yatamba kung’ara Feasssa
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mwadui kung’ara bila wa kulipwa
KOCHA wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo, amesema timu yake italeta ushindani kwenye Ligi Kuu licha ya kutokuwa na wachezaji wa kigeni. Julio ambaye aliipandisha Mwadui kucheza ligi msimu huu alisema Tanzania hakuna wachezaji wa kigeni ambao wanatisha na kuzishangaa timu zinazowapapatikia.