Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ATCL kung’araa angani

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) lipo mbioni kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake. Miongoni mwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ATC kung’ara angani

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake. Miongoni mwa taratibu zinazosubiriwa ni kwa serikali kulipa madeni makubwa ambayo ATC ilikuwa inadaiwa ili kuweka mizania sawa ya vitabu vya hesabu za fedha.
Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy, alisema...

 

11 years ago

Dewji Blog

ATL Kung’ara Angani

atl

Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATC, Kapteni Milton Lazaro, katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam.

NA MWANDISHI  WETU

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali kukamilisha taratibu zake.

Miongoni mwa taratibu...

 

11 years ago

GPL

ATL KUNG'ARA ANGANI

Mwenyekiti na Rais wa Kampuni za Al Hayat Development and Investment LLC ya Oman, Sheikh Salim Bin Abdullah Al Harthy (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ATC, Kapteni Milton Lazaro, katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam.
SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATC) lipo karibu kuanza kung’ara hewani baada ya mwekezaji kutoka Oman kuwa tayari kuwekeza kwenye shirika hilo na sasa anasubiri serikali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Simu kutumika angani

Shirika la usalama angani la umoja wa ulaya (EASA) limesema vifaa vya kielekroniki vinaweza kutumika pindi ndege iwapo angani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi ya angani yawaua 60 Allepo

Wanaharakati wanasema kuwa zaidi ya watu 60 wameuawa na jeshi la Syria katika mashambulizi ya angani katika mkoa wa kaskazini wa Aleppo .

 

9 years ago

GPL

UKWELI WA VIUMBE WAISHIO ANGANI-4

ALIENS WADAIWA KUTINGA IKULU YA MAREKANI! Wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea muunganiko wa Aliens na makundi ya wanasayansi wa Marekani ambao wamekuwa wakielezwa kuwa huingia mikataba mbalimbali ya kubadilishana teknolojia na uvumbuzi wa teknolojia mpya. Mfano ni ile Teknolojia ya Aliens Software. SASA ENDELEA… Katika kuchimba juu ya viumbe hao na nikushauri msomaji wangu kuwa na utamaduni wa kujifunza vitu...

 

9 years ago

GPL

UKWELI WA VIUMBE WAISHIO ANGANI-13

VIUMBE WA AJABU WASITISHA SAFARI ZA MWEZINI ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mpenzi msomaji wangu wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea namna ambavyo Aliens na UFO vilivyoanza kuonekana kwenye anga la Israel, Iran na Australia. Ukweli ni kwamba tukio hilo lilishuhudiwa na maelfu ya watu ambao waliona UFO zikisafiri mita 200 kutoka ardhini. SASA ENDELEA… Watafiti wengi duniani wameendelea kulishughulikia suala la...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA UDOM KUTOKA ANGANI

 Taswira za University of Dodoma (UDOM) kutoka angani. Ukitaka mengi toka chuo hiki ambacho ni mojawapo ya vyuo vikubwa katika Afrika Mashariki na ya kati BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani