Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwajage: Rasilimali watu kikwazo

HALMASHAURI za wilaya  nchini zimekuwa zikikwama kufikia malengo kutokana na kuwepo kwa utendaji usioridhisha. Akiuliza swali Bungeni, mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage (CCM), alisema moja ya mapungufu yaliyopo katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ukosefu rasilimali kikwazo kwa usimamizi wa vyama vya siasa

Baadhi ya taasisi zinazosaidia kukuza demokrasia na kudhibiti matendo maovu katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, zipo hoi kirasilimali.

 

11 years ago

Michuzi

Rasilimali watu na Haki ya Kuzaliwa Tanzania…..Part I

Katika karne iliyopita, wasomi mbali mbali wakiwepo wanauchumi, pamoja na wataalamu wa maswala ya kijamii waligundua umuhimu wa rasilimali watu katika kukua kwa uchumi wa dunia. Kuwepo kwa elimu bora, na ujuzi katika nafsi ya binadamu huwasaidia watu kujitengenezea vipato vikubwa. Tanzania inahitaji idadi kubwa ya rasilimali watu ili iweze kupiga hatua kubwa za kiuchumi.
Kuwepo kwa mali asili kama madini, mafuta na gesi asilia kwa kiwango kikubwa imekuwa laana kwa mataifa kwani yamekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YAKUTANA NA MAAFISA RASILIMALI WATU WA TAASISI ZA KIFEDHA

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF,  Cresentius Magori akifafanua jambo kwa washiriki wa kongamano la Maofisa Rasilimali watu wa Taasisi za Kifedha lililofanyika Morogoro Hotel. Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Maoafisa Rasilimali Watu kutoka taasisi za Kifedha wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa kongamano hilo.
Mgeni Rasmi, Mkurugenzi wa Rasilimali watu  NSSF ,Chiku Matessa akizungumza na maafisa Rasilmali watu wa mabenki na taasisi mbali mbali za kifedha wakati wa uzinduzi...

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA WIKI YA RASILIMALI WATU KWA WAFANYAKAZI WAKE

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel  Tanzania Bwn Sunil Colaso akiongea na wafanyazi wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya  Airtel ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu juu ya sera kuhusu mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi  na huduma nyinginezo zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali  watu, hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI NA KUSHIRIKI KONGAMANO LA CHAMA CHA MAAFISA RASILIMALI WATU

Meneja Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), James Oigo akitoa mada wakati wa kongamano la HRSTA Panorama lililowashirikisha Wakurugenzi, Mameneja na Maafisa Rasilimali Watu kutoka taasisi mbalimbali lililofanyika kwenye Hotel ya Double Tree Hilton jijini Dar es Salaam.Meneja Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), James Oigo akitoa mada wakati wa kongamano la HRSTA Panorama lililowashirikisha Wakurugenzi, Mameneja na Maafisa Rasilimali Watu kutoka taasisi...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAANDALIWA FUTARI NA IDARA YA RASILIMALI WATU YA KAMPUNI HIYO

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Idara ya rasilimali watu ya kampuni hiyo  kwa ajiri ya wafanyakazi wake  ikiwa ni sehemu ya  muendelezo wa mfungo wa mwezi  mtukufu wa ramadhani. Hafla hiyo ilifanyika makao Makuu Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa…

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPITIA RASIMU YA MUONGOZO WA KUANDAA MPANGO WA RASILIMALI WATU KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Mkurugenzi wa Uendelezaji Sera Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Agnes Meena akifungua kikao kazi cha wadau cha kupitia Rasimu ya Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro katika ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango ya Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala...

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: Wingi wa Askari wa Usalama Barabarani na Matumizi Sahihi ya Muda wa Kazi na Rasilimali Watu

Siku za karibuni nimekua nikipita Barabara ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Mlandizi. Huu ni umbali wa kama 50Km hivi. Ajabu katika umbali huu kuna polisi wa usalama barabarani wengi sana kiasi cha kufanya barabara hii ionekane kama ni ya kuogofya au kuna ukaguzi maalum au operation tokomeza madereva wabovu. Hata hivyo, sijasikia kabisa uwepo wa operation hii, labda kama inafanyika kiintelejensia zaidi na kwa mwaka mzima. Katika kushangaa wingi wa askari hawa, nilimekua nikihesabu makundi...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA MAAFISA RASILIMALI WATU KUTOKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Magesa Mulongo akifungua rasmi semina hiyo maalum kwa maafisa rasilimali watu na kuusifia Mfuko wa GEPF kwa ubunifu wake na huduma bora kwa wateja.
Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja kutoka Mfuko wa Pensheni wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akitoa neno la utangulizi kulia kwake ni Meneja wa GEPF Mkoa wa Mwanza Bw Nathan Makuchilo.Pichani baadhi ya washiriki wa semina hiyo maalum wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Magesa Mulongo wakati wa ufunguzi huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani