Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaka mmoja, talaka 1,600 Zanzibar

TAKWIMU za Mahakama ya Kadhi Zanzibar, zimeonesha kuwa zaidi ya talaka 1,600 zimetolewa Zanzibar kati ya 2012 na 2013, huku wanawake wengi wakitelekezwa bila kupatiwa haki zao baada ya kutengana na wenza wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Talaka ya Amber Rose na Wiz Khalifa: Kila mmoja anamshutumu mwenzie kuchepuka

Ndoa ya Wiz Khalifa na Amber Rose imefika ukingoni. Amber Rose anamshutumu Wiz Khalifa kuwa amekuwa akimsaliti kwa kipindi kirefu na kumtolea sababu zisizo na kichwa wala wa miguu. Vyanzo vilivyo karibu na Amber, vimeiambia TMZ kuwa tangu kuanza kwa ziara ya Wiz, July mrembo huyo amekuwa akimhisi mume wake kuchepuka. Amber anawaambia marafiki zake […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapewa talaka kwa kuunga CCM Zanzibar

Wanawake 14 kutoka Zanzibar nchini Tanzania wanaotuhumiwa kukiunga mkono chama tawala cha mapinduzi CCM katika uchaguzi uliopita kinyume na matakwa ya waume zao wamepewa talaka.

 

10 years ago

GPL

FLORA MVUNGI: MVUNGI NDOA MWAKA MMOJA, MTOTO MMOJA

ELIMU
Dada nakukubali sana, vipi kuhusu kiwango chako cha elimu? Fura, Hedaru, 0714403227
FLORA: Nina elimu ya kidato cha sita na Diploma ya Uandishi wa habari. Msanii wa Bongo Muvi na muziki Bongo, Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite. NDOA NA UIGIZAJI
Hivi dada Flora unawezaje kuitumikia ndoa yako kikamilifu huku ukijishughulisha na uigizaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
FLORA: Ni kujipanga tu, yote yanawezekana....

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

IMG_6448

Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar(Zanchick) Bw.Issa Khasim Issa akikabidhi chanjo 600,000 zenye thamani ya Tshs 9,000,000 kwa  Naibu katibu katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Omar Ali Amir kwa  ajili ya kuwalinda kuku na ugonjwa wa Mdondo,  anayeshuhudia kulia Mkurugenzi katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Yusuf Hajj Khamis.

Kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar, Zanchick, leo imetoa chanjo 600,000 zilizo na thamani ya Tshs 9,000,000 kwa wafugaji kuku kwa ajili ya kuwalinda kuku wao na ugonjwa wa Mdondo. Utoaji wa chanjo hizo ulifanyika kwa msaada wa wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar ambao wata ratibu na kusimamia zoezi zima.
Meneja wa Uendeshaji, kutoka Zanchick, Bwana Christopher Kontonasios alisema: “Tunashukuru Wizara ya Ufugaji na Uvuvi kwa kuwa washiriki wakubwa katika ...

 

10 years ago

Michuzi

WAJASIRIMALI TUMIENI FURSA YA KUJIUNGA NA NHIF KWA KUCHANGIA SH.78,600 KWA MWAKA

 Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya Mkoa wa Kinondoni ,Grace Temba akizungumza leo na wajasirimali wa Mkoa wa Kinondoni (hawapo pichani) juu ya faida ya kujiunga na mfuko huo kupitia Mtandao wa ASEE iliyofanyika katika ukumbi Pricess ,Sinza Jijini Dar es Salaam.

 Afisa Matekelezo na Uratibu wa NHIF,Catherine Masingisa akitoa maada kwa wajasirimali wa Mkoa wa Kinondoni (hawapo pichani) namna ya kujiunga  na mfuko wa Bima ya Afya  kupitia vikundi vya ujasiriamali iliyofanyika Katika Ukumbi wa...

 

10 years ago

GPL

E.FM YAADHIMISHA MWAKA MMOJA

Kushoto ni Mkuu wa Vipindi wa E.fm Dickson Ponela na Mkurugenzi wa Mawasiliano Denis Ssebo wakisikiliza maswali ya waandishi (hawapo pichani).                               Mkurugenzi wa Mawasiliano Denis Ssebo akisisitiza jambo. KITUO cha Redio 93.7 E.fm leo kimezindua sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake...

 

11 years ago

Habarileo

Mjapani afungwa mwaka mmoja

RAIA wa Japan, Chichiro Matsumoto (37) amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa Sh 500,000 baada ya kukutwa akisafirisha madini bila leseni.

 

11 years ago

GPL

MTOTO MWAKA MMOJA ABAKWA

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha USIPOSTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni, ni kweli kabisa! Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja tunayemtaja kwa jina moja la Devota wa Sokoni One jijini hapa, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kufuatia kubakwa na njemba moja iitwayo Rajabu Mkoba (30), mkazi wa eneo hilo. Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja ayetajwa kwa jina moja la Devota wa Sokoni One jijini Arusha akiwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani