Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaka Mpya: Maafa China 35 wafariki

Sherehe za kuupokea mwaka 2015 zimeguka kuwa majonzi baada ya watu 35 kufa kwenye taharuki ya kukanyagana kwenye msongamano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAAFA MWAKA MPYA

Umati wa watu ukiwa Chenyi Square kusherehekea Mwaka Mpya 2015 kabla ya kutokea mkanyagano. Polisi wakiwa eneo la tukio baada ya kutokea taharuki na watu kukanyagana.…

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha Ashiriki Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa China

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Bi. Lizzy Lloyd akizungumza wakati wa hafla hiyo.  Balozi wa  Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Lv Youqing akitoa neno la shukrani kwa Benki ya Standard Chartered kwa kuandaa hafla hiyo.  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza kwenye halfa ya kuadhimisha mwaka mpya wa China, iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered na kufanyika kwenye Hoteli ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wivu wa mapenzi waleta maafa china

Shao Zongqi, mwenye umri wa miaka 38 alitekelezaa mauaji hayo mwezi January mwaka huu katika mji wa Yunnan,nchini China.

 

10 years ago

Mtanzania

Maafa Shinyanga *Barafu yafunika kijiji, watu 42 wafariki dunia *Zaidi ya 91 wajeruhiwa, mamia wasombwa na maji *Nyumba zabomolewa, mifugo mingi nayo yafa

IMG-20150304-WA0018Paul Kayanda na Kadama Malunde, Kahama

WATU 42 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 91 wamejeruhiwa vibaya baada ya mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kunyesha katika Kijiji cha Mwakata, Kata ya Isaka, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Pamoja na vifo hivyo, nyumba za makazi na majengo ya taasisi mbalimbali, yamebomolewa na mafuriko yaliyosababishwa mawe kusambaa kijiji kizima.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, aliiambia MTANZANIA kwa simu jana kwamba zaidi ya kaya 100...

 

10 years ago

Vijimambo

Maafa yafunga mwaka 2014

Basi laua wanne, 40 wajeruhiwa. Lori laparamia nguzo ya umeme, lalipuka na kuteketeza kwa moto maduka, nyumbaSiku moja tu baada ya kutokea vifo na uharibifu mkubwa wa mali katika maeneo mbalimbali nchini kutokana na mvua zinzoendelea kunyesha, majanga mengine yameendelea kutokea kuelekea mwishoni mwa mwaka huu wa 2014.

Vifo vya watu wasio na hatia vimetokea, watu kujeruhiwa na uharibifu mwingine mkubwa wa mali umetokea tena na kuacha vilio vingine.

Katika janga la kwanza, watu wanne wamekufa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi walia na maafa ya kila mwaka

WANANCHI wa kitongoji cha Mwayunge mjini Igunga mkoani Tabora wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kushindwa kudhibiti maafa yanayotokea kila mwaka nyakati za masika. Wakizungumza na waandishi wa habari kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Wafanyakazi milioni 2.3 wafariki dunia kila mwaka

Dk. Makongoro MahangaNa Debora Sanja, Dodoma
WAFANYAKAZI milioni 2.3 duniani wanafariki dunia kila mwaka kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi.
Kauli hiyo ilitolewa mjini Dodoma jana na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi Duniani.
Alisema takwimu hizo ambazo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kwamba kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja anafariki kutokana na ajali au magonjwa duniani...

 

11 years ago

BBCSwahili

4 wafariki Misri katiba mpya ikisakwa

Waziri wa afya amesema kuwa watu 4 walifariki wakati katiba mpya ikipigiwa kura ya maoni huku wengine 15 wakijeuhiwa

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa hotuba yake fupi katika Baraza la kufunga Mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza(kulia) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kushoto) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Magereza, Mmeta Manyala. Baadhi ya… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani