Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwaka mpya, tujenge nchi kwa pamoja

nyerereIjumaa ijayo Watanzania wote tunaingia Mwaka Mpya wa 2016. Kwangu binafsi mwaka 2015 umekuwa wa bahati mbaya ya kukumbwa na balaa baada ya kampuni yetu kupoteza wafanyakazi wawili, Robert Tillya na Haruni Sanchawa, hakika yalikuwa mapigo mazito lakini hayo yote mimi na wenzangu tunamuachia Mungu.

Ndugu zangu,
Kwangu mwaka 2016 nadhamiria uwe ni wa kusonga mbele kwa kila Mtanzania. Na ningependa sote tuwe na dhamira hiyo ya kusonga mbele kama watu binafsi na kama taifa. Tutangulize zaidi...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA VIMONDO VYA CHAMLASHAMLA YA MWAKA MPYA KUTOKA NCHI MBALIMBALI DUNIA


Arriving in style: Sydney locals, Demi Bryant, 22, and James Hundt, 28, celebrate the beginning of the New Year atop a high-rise overlooking the iconic Sydney New Year's Eve fireworks sitting on a Ford MustangSpectacular: The London Eye explodes with light as a massive display of 15 tons of fireworks helps usher in the New Year in central LondonA breathtaking display of fireworks lit up London's night sky tonight as hundreds of thousands descended on the Capital for the arrival of 2015The...

 

9 years ago

Michuzi

Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation (TPF) yawaandalia Wazee wasiojiweza sherehe ya Krismas na Mwaka Mpya Courtyard protea hotel jijini Dar es salaam

Taswira za shughuli malumu ya chakula cha mchana iliyofanyika pale Courtyard Protea hotel ya Sea View jijini Dar es salam  kwa ajili ya wazee wasiojiweza wanaosaidiwa na Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation siku ya Jumamosi tarehe 19 Desemba, 2015. Shughuli iliandaliwa na uongozi wa  Protea na Rickshaw kwa ajili ya kusherehekea Krismas na mwaka mpya. Jumla ya wazee 60 na wajukuu wao  walikaribishwa na kusaidiwa na wafanyakazi wa Protea. Viongozi pamoja na wahudumu waliopokea wageni wao...

 

9 years ago

MillardAyo

Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 …

Mtu wangu wa nguvu najua tunaelekea kuuaga mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016. Kaabla ya kumalizika mwaka 2015 naomba nikusogezee video ya matukio ya kuchekesha katika soka yaliyotokea kwa mwaka 2015. Katika hii video kuna matukio ya Pep Guardiola na Frank Ribery. Jamaa kumbiss Zlatan Ibrahimovic. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]

The post Kabla ya kuuanza mwaka mpya, kutana na video ya matukio ya soka ya kuchekesha kwa mwaka 2015 … appeared first on...

 

9 years ago

Michuzi

KUPATANA WAUAGA MWAKA KWA KUKUTANA PAMOJA NA WADAU WAO

 Wafanyakazi wa Kupatana.com na wateja wao walikula na kunywa. Kupatana.com ni website ya matangazo madogo madogo ya bidhaa mbalimbali kutoka kwa wauzaji hapa Tanzania. Website hii ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2013 ambapo wakati wa kuanzishwa kwake ilikuwa ikitembelewa na watu takriban elfu tatu kila siku.Burudani ya mziki vilikuwepo vya kukata na shoka.Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Dewji Blog

Kupatana.com wauaga mwaka kwa kukutana pamoja na wadau wao

Makusaro Tesha akizungmza na wadau mbalimbali wa kupatana wa KUPATANA waliojumuika na watumishi katika tafrija ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Kupatana.com ni website ya matangazo madogo madogo ya bidhaa mbalimbali kutoka kwa wauzaji hapa Tanzania. Website hii ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2013 ambapo wakati wa kuanzishwa kwake ilikuwa ikitembelewa na watu takriban elfu tatu kila siku.

Makusaro Tesha akizungmza...

 

5 years ago

CCM Blog

NCHI WANACHAMA WA SADC KUIMARISHA SERA NA KUJENGA MIKAKATI YA PAMOJA YA KUKUZA AJIRA KWA VIJANA

 Na; Mwandishi WetuNchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimejizatiti kuimarisha Sera na kujenga mipango ya pamoja itakayowezesha kukuza ajira kwa vijana katika Ukanda huo.
Akifungua Mkutano wa Makatibu Wakuu, Maafisa Waandamizi na Wadau wa Utatu wa Jumuiya hiyo wanaosimamia Sekta ya Kazi na Ajira hii leo Machi 2, 2020 Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Andrew Massawe alisema kuwa Mkutano huo umewakutanisha...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Raia Mwema

Nchi imejiandaa vipi kwa mwaka 2016?

"UCHUMI mnao, lakini mmeukalia!” Utotoni nilipata kusikia redioni kauli hii ya Mwalimu .

Maggid Mjengwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani