KUPATANA WAUAGA MWAKA KWA KUKUTANA PAMOJA NA WADAU WAO
Wafanyakazi wa Kupatana.com na wateja wao walikula na kunywa. Kupatana.com ni website ya matangazo madogo madogo ya bidhaa mbalimbali kutoka kwa wauzaji hapa Tanzania. Website hii ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2013 ambapo wakati wa kuanzishwa kwake ilikuwa ikitembelewa na watu takriban elfu tatu kila siku.Burudani ya mziki vilikuwepo vya kukata na shoka.Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Kupatana.com wauaga mwaka kwa kukutana pamoja na wadau wao
Makusaro Tesha akizungmza na wadau mbalimbali wa kupatana wa KUPATANA waliojumuika na watumishi katika tafrija ya kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Kupatana.com ni website ya matangazo madogo madogo ya bidhaa mbalimbali kutoka kwa wauzaji hapa Tanzania. Website hii ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 2013 ambapo wakati wa kuanzishwa kwake ilikuwa ikitembelewa na watu takriban elfu tatu kila siku.
Makusaro Tesha akizungmza...
11 years ago
Michuzi16 Jun
10 years ago
Uhuru Newspaper9 years ago
Global Publishers29 Dec
Mwaka mpya, tujenge nchi kwa pamoja
Ijumaa ijayo Watanzania wote tunaingia Mwaka Mpya wa 2016. Kwangu binafsi mwaka 2015 umekuwa wa bahati mbaya ya kukumbwa na balaa baada ya kampuni yetu kupoteza wafanyakazi wawili, Robert Tillya na Haruni Sanchawa, hakika yalikuwa mapigo mazito lakini hayo yote mimi na wenzangu tunamuachia Mungu.
Ndugu zangu,
Kwangu mwaka 2016 nadhamiria uwe ni wa kusonga mbele kwa kila Mtanzania. Na ningependa sote tuwe na dhamira hiyo ya kusonga mbele kama watu binafsi na kama taifa. Tutangulize zaidi...
10 years ago
VijimamboWakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Wadau CHANETA kukutana Feb. 25
CHAMA cha Netiboli Tanzania (CHANETA), kinatarajia kukutana tena na wadau Februari 25 kwa lengo la kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ya mchezo huo unaokabiliwa na changamoto nyingi kubwa ikiwa ni...
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Pinda kukutana na wadau Serikali za Mitaa
<p> WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameahidi kukutana na wadau mbalimbali, ili kupitia Kanuni za Sheria ya Serikali za Mitaa kwa lengo la kutoa mapendekezo ya kuziboresha.</p> <p> Pinda alitoa ahadi...
9 years ago
MichuziSALAMU ZA MWAKA ZA RAIS WA TFF KWA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
Awali ya yote tumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ametulinda kwa mwaka mzima na kupitia Baraka zake tumeweza kuwa na nguvu, uwezo na hekima za kutimiza majukumu yetu mbalimbali katika kipindi hiki cha mwaka 2015. Tuzidi kumuomba atuvushe salama mwaka 2015.
Ninaomba nichukue fursa hii kuwapongeza Watanzania wenzangu kwa kukamilisha...
11 years ago
GPLMULTICHOCIE TANZANIA YAFUNGA MWAKA KWA KUSHEREHEKEA NA WANAHABARI, WADAU JIJINI DAR