Mwakilishi wa Kenya nje ya Big Brother
Sabina ana mtoto wa miezi minane na ndio mkenya wa kwanza kutimuliwa kutoka katika nyumba hiyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Sep
Big Brother Africa ‘Hot Shots’ kufanyika Uingereza kwenye nyumba ya ‘Big Brother ya UK’?
Kuna habari mpya zinazosema kuwa kuna uwezekano shindano la Big Brother Africa ‘Hot Shots’ likahamishiwa jijini London, Uingereza baada ya nyumba ya Afrika Kusini iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya msimu wa tisa kuungua wiki iliyopita na kupelekea uzinduzi uliokuwa umepangwa kufanyika Jumapili iliyopita (September 7) kuahirishwa. Taarifa hiyo ambayo bado haijathibitishwa imetolewa kupitia ukurasa rasmi wa […]
10 years ago
Bongo516 Oct
Elani (Kenya) kutumbuiza Jumapili hii kwenye Big Brother Africa
Kundi la Kenya, Elani, linaloundwa na watu watatu, Bryan Chweya, Maureen Kunga na Wambui Ngugi litatumbuiza Jumapili hii kwenye shindano la Big Brother Africa. Kundi hilo lililotajwa pia kuwania tuzo za CHOAMVA 2014 lina album iitwayo ‘Barua Ya Dunia’ na linafanya Afrika Mashariki na kwingineko Nyimbo zao nyingi ni za Kiswahili fasaha
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qQ_Hi7iTbZY/VBrViX08P2I/AAAAAAAGkRk/MIIgGOfMKr4/s72-c/BigBrotherHotshots_med.jpg)
Big Brother Hotshots revealed
![](http://4.bp.blogspot.com/-qQ_Hi7iTbZY/VBrViX08P2I/AAAAAAAGkRk/MIIgGOfMKr4/s1600/BigBrotherHotshots_med.jpg)
In a bold and ground breaking move, M-Net and series producers Endemol SA will be delivering a new world first by unveiling the names of the participating housemates live on the official Big Brother website which launches at 14h00 CAT on Wednesday 17 September.
Three Big Brother housemates will be introduced on a daily...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MBtHLqmI6t3s781SlkJWJuSEKLAfjqOPe9zXCrc6416qRLre2sQmbKnfjtX6zmKnqG8vk0L8zjP4swp01hJ2fcBMJELVAGLA/BBAMpya.jpg?width=650)
MTANZANIA ATOLEWA BIG BROTHER
Matumaini ya watu wengi kumuona mshiriki kutoka Afrika Mashariki ndani ya jumba la Big Brother Africa kuibuka na ushindi, yameshuka kwa kiasi kikubwa baada ya washiriki kutoka nchi mbili za Afrika Mashariki kutolewa nje ya jumba hilo. Aliekuwa mshiriki wa Tanzania Laveda. Wiki moja baada ya washiriki Lillian kutoka Nigeria, Esther kutoka Uganda na Sabina kutoka Kenya kutolewa kwenye mjengo huo, Mtanzania Laveda aliyekuwa na...
10 years ago
Bongo513 Sep
Big Brother Hotshots kuzinduliwa October 5
Shindano la Big Brother Hotshots litazinduliwa October 5, makampuni ya M-Net na Endemol SA yamesema. Makampuni hayo yamedai kuwa nyumba mpya ya Big Brother imepatikana jijini Johannesburg, Afrika Kusini baada ya kile walichodai moto kuunguza jumba la kwanza September 2. “M-Net and Endemol SA are pleased to announce that Big Brother Hotshots will officially launch […]
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79593000/jpg/_79593810_79580491.jpg)
Big Brother Africa winner's 'joy'
The winner of Big Brother Africa, Idris Sultan from Tanzania, tells the BBC he is overjoyed to have won the reality TV show staged in South Africa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PhpRQMoFW8aINxhcM0glZO1xfoNDq67wQjGYRj*uGLkMYYHE3IXqrPf9A5Cuh-jJDASfRD40bn9o9cvZkXqnnUfrKsKyHAp4/levada.jpg)
LAVEDA: SIJAWAHI KUJICHUA BIG BROTHER
Srori: Shani Ramadhani ALIYEKUWA mwakilishi wa Tanzania katika Big Brother Africa Hotshots, Irene Laveda wiki hii alikuja na kufanya mazungumzo katika chumba chetu cha habari.Katika mahojiano maalum, Irene alizungumza mambo mbalimbali kama alivyonukuliwa na Global tv online. La Veda wakati wa Exclusive Interview na Global TV Online. Kwa sasa msichana huyo amedhamiria kufanya… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania