Mwalimu, mwanazuoni mkanushi
MWANDISHI mmoja alimtumia Mwalimu kitabu chake mwaka 1981, akimuomba maoni, kwa vile aliamini kuw
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi09 Jul
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Mwanazuoni akerwa na wanasiasa
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Benadetha Kilian amekerwa na tabia ya wanasiasa ya kuteka mjadala wa katiba akisema kitendo hicho kitazaa Katiba mbovu.
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Mwanazuoni: Wanaomwandama Warioba wana lao jambo
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Emmanuel Kilatu, ametaka wanaomshambulia kwa maneno Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba kuacha tabia hiyo mara moja.
10 years ago
Michuzitunamlilia mwanazuoni na mwanasiasa mkongwe Marehemu Dkt Alec Che-Mponda
Mwenyekiti Mtendaji wa Michuzi Media Group anaungana na familia, ndugu, jamaa, jirani na marafiki wa Chemponda katika kuomboleza kifo cha Dkt Alec Che Mponda kilichotokea juzi Machi 30, 2015 katika hospitali ya Massana jijini Dar es salaam kutokana na saratani (cancer) ya mifupa iliyokuwa ikimsumbua kwa muda mrefu. Alikuwa na umri wa miaka 80.
Tunatoa mkono wa pole kwa binti mkubwa wa marehemu na blogger na mwanahabari mwenzetu, Bi Chemi...
10 years ago
Michuzi12 Apr
msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo
Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.
Kwa mawasiliano nitumie email.
11 years ago
Michuzi10 Jul
Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja
JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu. Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Mwalimu adaiwa kumuua mwalimu mwenzake Kagera
>Mwalimu wa Shule ya Msingi Kaiho, Kijiji cha Rwigembe, mkoani Kagera, Tumaini Samson (42) anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwenzake, Samson Mwenda (26) kutokana na kumchoma kwa kisu kifuani na mgongoni.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania