Mwambene ataka mitandao kudhibitiwa
SERIKALI imeziomba nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), kuhakikisha zinakuwa na mfumo wa kuangalia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ili isiendelee kusababisha madhara katika jamii.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Jun
Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa
5 years ago
MichuziMABULA ATAKA MALIPO YA KODI YA PANGO LA ARDHI KWA MITANDAO YA SIMU KUEPUKA CORONA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kilipia kodi ya pango la ardhi kufanya hivyo kupitia mitandao ya simu za viganjani ili kuepuka misongamano inayoweza kuchangia maambukizi ya virusi vya Corona.
Dkt Mabula alitoa tahadhari hiyo juzi wilayani Bariadi mkoani Simiyu alipozungumza na Wakurugenzi na Watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za mkoa wa Simiyu akiwa katika ziara ya...
11 years ago
Habarileo17 Dec
Maandamano kudhibitiwa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama imeishauri Serikali, iandae Muswada wa Sheria utakaoweka utaratibu mahsusi wa watu kuandamana kwa kuzingatia, siku, muda na mahali ili kuondoa usumbufu kwa jamii kutokana na maandamano yasiyo rasmi.
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
Uhuru wa mtandao kudhibitiwa
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Bidhaa feki kudhibitiwa
10 years ago
Habarileo21 Aug
Ebola kudhibitiwa mipakani
MAOFISA wa idara mbalimbali za Serikali zikiwemo za Uhamiaji, Polisi na Usalama wa Taifa kwa nchi za Tanzania na Kenya wameweka mikakati ya pamoja katika mipaka ya Isebania na Sirari katika kudhibiti wageni ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa ebola.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Madrassa kudhibitiwa Uingereza
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Idadi ya makanisa kudhibitiwa Burundi
11 years ago
Habarileo07 Jun
Kelele za baa, klabu kudhibitiwa
OFISI ya Makamu wa Rais (Mazingira), imetunga kanuni ya kudhibiti kelele na mitetemo kutoka kwa waendeshaji wa klabu za usiku, baa, matangazo ya wanaozunguka barabarani na hata mahubiri katika maeneo ya ibada.