Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAMNYANGE AZINDUA BARAZA LA USHAURI TCAA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamyange akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Ushauri wa Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC) na semina ya wadau wa usafiri wa anga Dar es Salaam leo. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamyange akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Baraza  la Ushauri wa Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC, Shaban Mtambalike wakati wa uzinduzi wa baraza hilo la nne tangu kuanzishwa kwake.  Katibu Mtendaji...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA MONICA MWAMNYANGE AZINDUA BARAZA LA USHAURI TCAA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Mama Monica Mwamyange akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Ushauri wa Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC) na semina ya wadau wa usafiri wa anga Dar es Salaam leo.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Mama Monica Mwamyange akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Baraza  la Ushauri wa Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC), Shaban Mtambalike wakati wa uzinduzi wa baraza hilo la nne tangu kuanzishwa kwake.
Katibu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Baraza la ushauri la watumiaji usafiri wa Anga TCAA-CCC washiriki kikamilifu wiki ya Utumishi wa Umma Mnazi Mmoja Dar

048A2694

Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC)wakitoa huduma kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda hilo leo.

Kikosi kazi cha Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) wakiwa tayari kutoa huduma kwa wageni mbalimbali watakaotembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Athuman Bakari, Aziza Tamim na Debora Mligo.

Katibu Mtendaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BARAZA LA USHAURI LA WATUMIAJI USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC WASHIRIKI KIKAMILIFU WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM

Kikosi kazi cha Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) wakiwa tayari kutoa huduma kwa wageni mbalimbali watakaotembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Athuman Bakari, Aziza Tamim na Debora Mligo. Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC)wakitoa huduma kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda hilo leo.
 Katibu Mtendaji wa Baraza...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Seif azindua bodi ya ushauri huduma za afya

WAJUMBE wapya wa bodi ya ushauri ya uongozi wa hospitali binafsi, wametakiwa kuhakikisha sheria inayosimamia vituo vya kutolea huduma za afya inafanyiwa maboresho ili usimamizi uwe na ufanisi zaidi. Akizungumza...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA USHAURI SUMATRA LAZINDUA VILABU VYA WANAFUNZI

 Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Ayoob Omary akizindua vilabu vya wanafunzi vya Sumatra. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Oscar Kikoyo na kulia ni Mnadhimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatan. Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Oscar Kikoyo akizungumza wakati wa uzinduzi huo. Mnadhimu Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA BARAZA LA USHAURI WA KISIASA LA WATU WA CHINA AWASILI ARUSHA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege wa KIA.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China amewasili nchini kuja kushiriki kwenye ufunguzi wa Kongamano...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI WA UONGOZI WA HOSPITALI BINAFSI NCHINI

Na Dotto Mwaibale
SERIKALI imesema itaainisha ukomo wa tozo kwa kila huduma inayotolewa kwa kila ngazi ya kituo cha huduma ili kudhibiti gharama za huduma za afya nchini.
Kauli hiyo ilitolewa  na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid Dar es Salaam leo asubuhi wakati akizindua bodi mpya ya ushauri ya Hospitali binafsi nchini.
Dk. Rashid alisema hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa na hospitali hizo hivyo hatua hiyo itasaidia kuboresha mfumo na...

 

5 years ago

Michuzi

MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI NA KUITAKA IHAKIKISHE ATCL INAKUWA IMARA KIUSHINDANI



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mst) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakala ya Ndege za Serikali (hawapo pichani) mara baada ya kuzindua Bodi hiyo mapema leo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Mhandisi John W. H. Kijazi ambaye pia ni...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Kabaka azindua Baraza la Wafanyakazi SSRA


Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, akifunua pazi ili kuzindua Baraza la Wafanyakazi wa SSRA, Bagamoyo leo.Anayepiga makofi ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa SSRA, Bagamoyo leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka, akisoma hotuba yake na kisha kumkaribisha Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani