BARAZA LA USHAURI SUMATRA LAZINDUA VILABU VYA WANAFUNZI

Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Ayoob Omary akizindua vilabu vya wanafunzi vya Sumatra. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Oscar Kikoyo na kulia ni Mnadhimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Johansen Kahatan.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Oscar Kikoyo akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Mnadhimu Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMEGATRADE YAVIPIGA JEKI VILABU VYA POLISI KILIMANJARO NA MACHAVA FC VYA MJINI MOSHI
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Baraza SUMATRA lawaonya madereva
MADEREVA wa mabasi nchini wametakiwa kuacha kubadilisha ruti kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Ofisa Muelimishaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za...
10 years ago
VijimamboMWAMNYANGE AZINDUA BARAZA LA USHAURI TCAA
10 years ago
MichuziMAMA MONICA MWAMNYANGE AZINDUA BARAZA LA USHAURI TCAA
11 years ago
Habarileo24 Dec
SUMATRA yatoa vibali vya dharura 75 vya mabasi
JUMLA ya vibali vya dharura 75 vya mabasi vimetolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la usafiri kipindi hiki cha sikukuu huku hali ya usafiri katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo ikizidi kuwa ngumu.
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA BARAZA LA USHAURI WA KISIASA LA WATU WA CHINA AWASILI ARUSHA

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China amewasili nchini kuja kushiriki kwenye ufunguzi wa Kongamano...
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
Vilabu vya Ulaya na Tetesi za usajili .
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Vilabu vya Manchester vyawika EPL
11 years ago
BBCSwahili16 Jul