Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwana FA amzawadia gari Meneja wa Dimpoz

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, amemzawadia gari aina ya Opha yenye thamani ya sh milioni 12, Meneja wa mkali wa muziki wa kizazi kipya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA GARI QUEEN DARLEEN

Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake. Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond. Queen Darleen akimlisha keki Diamond.…

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA MAMA YAKE GARI LA MILIONI 38

Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye. Muonekano wa gari hilo kwa nyuma. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'. Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao. Gari… ...

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Madee amzawadia Dogo Janja gari kwenye birthday yake

Dogo Janja a.k.a Janjaro amezawadiwa gari katika siku ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Sept 15. Zawadi hiyo ya gari imetoka kwa Madee ambaye ndiye mlezi wake kimuziki kwa muda mrefu. Dogo Janja ambaye sasa amefikisha miaka 21 ameshare picha Instagramakikabidhiwa gari hiyo. “Muwakilishi Wa Mshua Alikuwa @dicksound1 Tajiri Yangu,Moja Ya Watu Wa Karibu […]

 

9 years ago

Bongo5

Ommy Dimpoz ana nyimbo za albamu tatu ndani – Meneja

Ommy

Ommy Dimpoz ana nyimbo nyingi ndani zinazoweza kufikisha takriban albamu tatu.

Ommy

Akizungumza na Bongo5 Jumamosi iliyopita kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Achia Body, meneja wake, Mubenga, alisema mpaka sasa tayari wamesharekodi nyimbo nyingi ambazo zinasubiri muda wake tu.

“Sisi hatupaniki, tunaangalia target zetu kwenye muziki,” alisema. “Tunajiuliza sasa hivi inafaa kutoa ngoma? Kwa sababu ngoma tunazo, Ommy ana nyimbo kama albamu tatu, zingine hadi mimi nimeshazizoea naziona....

 

9 years ago

Mwananchi

Wananchi Moshi washambulia gari la kampeni meneja

Gari la mmoja wa makampeni meneja wa mgombea ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya CCM, Dk. Cyrill Chami, limeshambuliwa na kuharibiwa vibaya na wananchi wakilishuku kuwa na kura bandia

 

10 years ago

CloudsFM

Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.

Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA WEMA MURANO

Gari aina ya Nissani Murano alilozawadiwa Wema Sepetu na mpenzi wake Diamond Platnumz. STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amemzawadia gari aina ya Nissan Muran mpenzi wake Wema Sepetu katika bethidei yake jana. Kupitia ukaunti yake ya Instagram, Diamond ameandika hivi:…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani