Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Moshi washambulia gari la kampeni meneja

Gari la mmoja wa makampeni meneja wa mgombea ubunge Jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya CCM, Dk. Cyrill Chami, limeshambuliwa na kuharibiwa vibaya na wananchi wakilishuku kuwa na kura bandia

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.

Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao

NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwana FA amzawadia gari Meneja wa Dimpoz

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, amemzawadia gari aina ya Opha yenye thamani ya sh milioni 12, Meneja wa mkali wa muziki wa kizazi kipya...

 

5 years ago

CCM Blog

ALIYEKUWA MENEJA KAMPENI WA MGOMBEA UMAKAMU WA RAIS CHADEMA ATIMKIA CCM



Na Amiri Kilagalila,Njombe
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi,Mkuu wa Idara ya Sera na Itifaki CHADEMA,Mjumbe wa kamati ya Ukawa na kampeni meneja wa Mgombea wa Makam wa Rais Ukawa Bwana,Juju Martin Danda amepokelewa na Chama cha Mapinduzi CCM na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe.
Akizungumza dhamira ya kujiunga na Chama hicho,Martin Danda amesema ni kutokana na uozo uliopo katika vyama vya upinzani.
“Nilifanya harakati nyingi...

 

10 years ago

Vijimambo

NASSOR AHMED MAZRUI NDIYE MENEJA WA KAMPENI ZA URAIS WA ZANZIBAR 2015 WA MAALIM SEIF

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wa Chama hicho Wilaya za Unguja katika ukumbi wa majid Kiembe Samaki.Viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihutubia kwenye ukumbi wa Majid Kiembesamaki.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu, akinukuu baadhi ya vifungu vya katiba ya...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert: Ajali ya gari la mizigo barabara ya Arusha/Moshi leo


Gari lililokuwa limepakia shehena ya Sementi likiwa limepunduka katika barabara ya Arusha Moshi jirani na Bomang'ombe. Hakuna aliyejeruhiwa na chanzo cha ajali bado haijajulikana Vijana wakichukua mafuta katika tenki la mafuta ya gari lililoanguka.
Sehemu ya sementi iliyokuwa imepakiwa katika gari hilo . Askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe wakiwa katika eneo la tukio kuhakikisha kunakuwepo na hali ya usalama. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.

 

10 years ago

Habarileo

NBC wazindua kampeni wateja kushinda gari

BENKI ya NBC imezindua kampeni inawowapa wateja wa benki hiyo nafasi ya kuweka akiba na kujishindia gari aina ya Nissan Double Cabin Pick up.

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI KUNUNUA MAFUTA YA GARI KUPITIA M PESA

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania Salum Mwalim akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya kulipia mafuta kwa Mpesa kwenye vituo vya mafuta vya Total nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Total Romee de Villeneuve. Uzinduzi huo umefanyika leo jijini Dra es salaam.   Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Salum Mwalim akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi ya kulipia mafuta kwa Mpesa kwenye vituo vya mafuta vya Total muda mfupi baada ya...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yakabidhi gari kwa mshindi wa kampeni yake ya akaunti ya malengo

Meneja Bidhaa wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Aloyse Maro (kushoto) akikabidhi mfano wa ufunguo wa gari kwa Meneja Mahusiano Msaidizi wa benki hiyo Bi. Naomi Sanga (katikati) ambaye alimuwakilisha mshindi mkuu wa kampeni ya akaunti ya malengo ya benki hiyo aliyejishindia gari aina ya Toyota IST kwenye hafla fupi ya makabidhiani iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa Benki hiyo Bw Abdulrahman Nkondo.
Benki ya Exim Tanzania imekabidhi zawadi kuu kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yakabidhi zawadi ya gari kwa mshindi wa kampeni ya Weka Upewe

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Bi Mzinga Melu (kushoto) akikabidhi zawadi ya gari jipya aina ya Suzuki Swift kwa Bi. Mary Malifedha Popote mkazi wa Kigoma, aliyeibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe iliyokuwa ikiendeshwa na NBC. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow, Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani