NASSOR AHMED MAZRUI NDIYE MENEJA WA KAMPENI ZA URAIS WA ZANZIBAR 2015 WA MAALIM SEIF
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wa Chama hicho Wilaya za Unguja katika ukumbi wa majid Kiembe Samaki.
Viongozi wa CUF pamoja na wagombea uwakilishi na ubunge wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad wakati akihutubia kwenye ukumbi wa Majid Kiembesamaki.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu, akinukuu baadhi ya vifungu vya katiba ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Jun
Maalim Seif ‘kidedea’, kuwania urais Zanzibar
10 years ago
Mwananchi03 Jun
Hatihati ya Maalim Seif kushinda urais Zanzibar
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Maalim Seif hatoshi urais wa Zanzibar — Vuai
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka Wazanzibari wasimchague Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad, iwapo atawania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Kimedai Maalim Seif, hana utashi na dhamira...
10 years ago
Mwananchi25 Aug
Maalim Seif: Zanzibar,Bara zipokezane urais
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
Maalim Seif Hamad mgombea urais Zanzibar
10 years ago
Habarileo29 May
Maalim Seif achukua fomu ya Urais 2015
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua rasmi fomu ya chama hicho kuomba kuwania Urais wa Zanzibar.
9 years ago
Mwananchi24 Aug
Maalim Seif akabidhiwa fomu za urais Zanzibar, ailamu ZEC
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF ADHAMINIWA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR UCHAGUZI MKUU UJAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-qHQoYNpYxNM/VUc-m0rjV9I/AAAAAAAA8R0/CTJB9Z0nJZM/s640/ud2.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s72-c/MMGL1355.jpg)
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-_BFVavjk_84/Vdn0mHgolKI/AAAAAAAAYIE/qzPQCUjPlIU/s640/MMGL1355.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-PEHTXMA_vyI/Vdn0mponBbI/AAAAAAAAYII/GvesfgUN41o/s640/MMGL1349.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10