Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanablogu taabani baada ya kichapo

Saudi Arabia imaeahirisha adhabu ya kumchapa viboko mwanablogu Raif Badawi kwa sababu ya afya yake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ureno taabani baada ya sare na USA

Ureno ipo pabaya huko brazil baada ya kutoshana nguvu 2-2 na Marekani. Je itafuzu mkondo wa pili ?

 

11 years ago

GPL

ACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUIBA

Kibaka akisalimisha vitu alivyokwapua.
Akijitetea asamehewe.
Akijutia kwa kitendo alichokifanya.…

 

10 years ago

Bongo5

Drake adaiwa kulazwa hospitali baada ya kupewa kichapo na P.Diddy

Baada ya kuhusishwa kwenye drama ya Chris Brown na Karrueche Tran weekend iliyopita, sasa inadaiwa kuwa rapper wa Canada, Drake amelazwa hospitali baada ya kujihusisha kwenye ugomvi na P.Diddy. Kwa mujibu wa TMZ, Diddy alimfunza adabu Drake nje ya club ya Miami Jumatatu asubuhi ambapo wote walikuwa wamehudhuria birthday ya Dj Khalid. Mwanzo ilisemekana kuwa […]

 

5 years ago

Bongo5

Picha: Mashabiki wa Bayern Munich wafanya fujo baada ya timu kupokea kichapo

Katika mchezo wa soka kuna matokeo makubwa matatu, ambayo ni pamoja na kushinda, kufungwa na kutoka suluhu – Lakini habari nzuri ambazo mashabiki wanapenda kuzisikia ni kupata ushindi kwa timu yao wanayoishabikia.

Usiku wa kumakia leo mashabiki wa Bayern Munich waliamua kuanzisha ugomvi wakati timu yao ilipokumbana na kichapo cha magoli 4-2 wakiwa ugenini, kutoka kwa Real Madrid huku wakishuhudia mchezaji wao Artulo Vidal, akipata kadi nyekundu dakika katika dakika ya 84.

Tazama picha za...

 

10 years ago

Bongo Movies

TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu

Inasemekana kuwa mwigizaji  na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.

Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni siku ya krismas (jana) .Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAPOTEZA MCHEZO WA PILI BAADA YA KUPATA KICHAPO CHA BAO 2-0 KUTOKA KWA MADAGASCAR

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana imepoteza mchezo wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Cosafa, baada ya kufungwa mabao 2 - 0 na Madagascar, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Royal Bafokeng jijini Rustenburg.  Kwa Taifa Stars kupoteza mchezo huo, moja kwa moja inakua imeaga michuano katika hatua ya makundi, kutokana na kubakisha mchezo mmoja tu wa kukamilisha ratiba dhidi ya Lesotho utakaochezwa kesho ijumaa katika uwanja wa Moruleng.
Katika mchezo huo wa jana, Taifa...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya timu ya Samatta kuchukua kichapo Klabu Bingwa Dunia , Suarez kaipeleka fainali Barcelona (+PIchaz&Video)

Baada ya klabu ya TP Mazembe inayochezewa na washambuliaji wa wawili wa Tanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kutolewa katika mashindano ya klabu Bingwa Dunia katika hatua ya robo fainali dhidi ya Sanfrecce kwa goli 3-0, December 17 ilikuwa ni zamu ya Mabingwa wa Ulaya FC Barcelona kutupa karata yao katika hatua ya nusu fainali. […]

The post Baada ya timu ya Samatta kuchukua kichapo Klabu Bingwa Dunia , Suarez kaipeleka fainali Barcelona (+PIchaz&Video) appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanablogu auawa kinyama Bangladesh

Mwanablogu mmoja mwenye asili ya Marekani na ile ya Bangladeshi- maarufu kwa maoni ya kumkana Mungu ameuawa kinyama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani