Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanahabari aliyejisomesha chuo kikuu kwa kazi ya ususi

“Muda wote nikiwa chuoni nchini Marekani, nilikuwa nafanya kazi ya kuwasuka watu nywele na fedha niliyoipata nililipia ada kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Chuo kikuu ni fursa ya kuondoa ujinga, siyo kutafuta kazi’

Hivi karibuni nilialikwa kwenye makulaji ya kumaliza mwaka yaliyoandaliwa jijini hapa na Wafanyakazi wa Nice Catering Company yanye Makao Makuu yake Dar es Salaam.

 

11 years ago

Bongo5

Fundisho: Mwanafunzi wa chuo kikuu alazimishwa kurekodi picha za ngono, baada ya kudanganywa angetafutiwa kazi Ulaya

Kweli dunia ina mambo! Kuna watu wanajaribu kutumia kila fursa inayopatikana kujinufaisha kwa kupata fedha hata ziwe ‘chafu’, kwao kitu cha maana ni kupata utajiri kwanza. Sunday Bekunda Kundi la watu wanaofanya biashara ya kusafirisha watu, wamekuwa wakitumia fursa ya ukosefu wa ajira kama chambo cha kuwanasa vijana na kuwaingiza kwenye biashara haramu kama ukahaba. […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

9 years ago

Global Publishers

Denti Chuo Kikuu auawa kwa risasi!

marehemuMarehemu Mafwiri Mfungo, enzi za uhai wake.

Stori: Gabriel Ng’osha, Dar na Gregory Nyankaira, Mara

VILIO na majonzi vilitawala nyumbani kwa mzee Mfungo Mtaengelwa wakati wa mazishi ya kijana wake, Mafwiri Mfungo, 28, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), aliyeuawa kwa kupigwa risasi tatu kifuani na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi. Tukio hilo linalowaliza wanachuo wenzake mpaka sasa, lilijiri Desemba 15, mwaka huu, Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.

jeneza lamafwiriJeneza lenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanahabari Frank kibiki awataka vijana kufanya kazi kwa bidii na kutumia fursa zinazotolewa na serikali

IMG_20150130_130513

Mwanahabari Frank Kibiki  akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.

Na Mwandishi wetu, Iringa

MWANAHABARI Frank Kibiki, aliyewahi kuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10.

Akizungumza na mtandao huu mwanahabari Frank Kibiki, alisema kuwa vijana wengi wamekuwa wakibweteka kwa kutojituma kufanya kazi na kuendelea kuilaumu serikali.

“Eti asubuhi unawakuta vijana wamekaa kwenye vijiwe wakizungumza siasa na kucheza mabao wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

PROGRAMU MAALUMU KWA WASICHANA INAYOENDESHWA NA CHUO KIKUU HURIA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa tatu kutoka Kulia) akifurahi jambo katika uzinduzi wa mafunzo ya wasichana yaliyojikita katika mafunzo ya ufundi,mawasiliano na ujuzi wa kibiashara.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa mafunzo kutoka VETA Bi.Leah Lukindo,anaefuata ni makamu mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof. Tolly Mbwette.Makamu Mkuu wa chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof Tolly Mbwette akifungua mafunzo kwa ajili ya wasichana...

 

9 years ago

Bongo5

Chuo kikuu cha Dodoma kuzalisha umeme wa megawati 55 kwa kutumia jua

Chuo kikuu cha Dodoma kinatarajia kuzalisha umeme wa jua utakaoweza kuzalisha megawati 50. Mradi huo mkubwa unatarajiwa kujengwa na kuwa mkubwa kuliko chuo chochote kuwahi kujenga ndani ya eneo la chuo duniani. Megawati hizo zitatumika kwa kuanzia kusambaza umeme kwenye mabweni, madarasa ya kufundishia, sehemu za kufanyia tafiti na eneo la madawa au huduma za […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani