Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamama Mtanzania Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali ateuliwa kuwa mwakilishi maalum wa AU Sudan ya kusini

jk14

Na Mwandishi maalum, New York

Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr.Nkosanzana Dlamini Zuma, amemteua,  Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali kutoka Jeshi la Wananchiwa wa Tanzania ( JWTZ), kuwa Mwakilishi Maalum na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika Sudan yaKusini .

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewana AU na nakala yake kutumwa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, makakazi ya Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali yatakuwa Juba.

Pamoja na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BRIGEDIA JENERALI SARA THOMAS RWAMBALI ATEULIWA KUWA MWAKILISHI MAALUM WA AU SUDAN YA KUSINI

Katika picha hii ya Maktaba, Amiri Jeshi Mkuu , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzani ( JWTZ) Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali ambaye hivi karibuni, Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr. Nkosazana Dlamini Zuma amemteua kuwa Mwakilishi Maalum na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika nchi Sudani ya Kusini.
Na Mwandishi Maalum, New York
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr. Nkosanzana Dlamini...

 

10 years ago

Vijimambo

BRIGEDIA JENERALI SARA THOMAS RWAMBALI ATEULIWA KUWA MWAKILISHI MAALUM WA AU SUDAN YA KUSINI

Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali 
Na Mwandishi Maalum, New York
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr. Nkosanzana Dlamini Zuma, amemteua, Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ),kuwa Mwakilishi Maalum na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika Sudan ya Kusini .
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na AU na nakala yake kutumwa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, inaeleza kwamba ...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: gwiji la ukombozi wa afrika kusini brigedia jenerali hashim mbita afariki dunia leo dar es salam


Habari zilizotujia hivi punde zinasema Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali kuu ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam. 
Mzee Mbita atakumbukwa Tanzania,  bara zima la Afrika na dunia kwa jumla kama kamanda mahiri aliyeshiriki kikamilifu katika uondoshaji wa utawala wa ukoloni  barani Afrika, hususan utawala kidhalimu wa makaburu  Zimbabwe na  Afrika...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WAKUU KUWA BRIGEDIA JENERALI NA WENGINE MEJA JENARALI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Joseph Pombe Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa Wakuu kuwa Brigedia Jenerali na wengine kuwa Meja Jenerali kuanzia tarehe 02 Juni, 2020.


       Miongoni mwa waliopandishwa cheo kuwa Brigedia Jenerali ni pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kanali (Balozi) Wilbert Augustin Ibuge na Kamishna wa Kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Kanali Francis Ronald...

 

10 years ago

Bongo5

Mtanzania ateuliwa kuwa makamu mkuu wa rais wa BET Networks

BET Networks, ambayo ipo chini ya kampuni ya Viacom Inc. imetangaza kumwajiri Kay Madati kama makamu mkuu wa rais (Executive Vice President) na pia kama Chief Digital Officer. Madati, raia wa Tanzania aliyeishi katika nchi nyingi Afrika, Uingereza na Marekani, ataziongoza timu za BET zinazohusika na masuala yote ya digital, mitandao ya kijamii na pia […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Jenerali wa Sudan Kusini auwawa Bor.

Mapigano makali yamezuka nje ya mji mkuu wa Sudan Kusini wa Bor na Jenerali mmoja wa jeshi la Sudan Kusini ameuwawa.

 

10 years ago

Mtanzania

Brigedia Jenerali Mbita kuzikwa leo

mbitaAdam Mkwepu na Easther Mnyika, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita (82), anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.
Mbita aliyefariki dunia Mei 26, mwaka huu katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, anatarajiwa kuzikwa leo alasiri katika makaburi ya Kisutu.
Kifo cha mpigania uhuru huyo wa nchi za Afrika kimewagusa viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali ambapo Katibu Mkuu wa Chama...

 

10 years ago

GPL

HATIMAYE BRIGEDIA JENERALI MBITA AZIKWA

Mwili wa Brigedia Jenerali Hashim Mbita ukiswaliwa Msikitini. Mwili wa Marehemu Mbita ukiingizwa kwenye gari maalum la Jeshi kwa ajili ya kupelekwa makaburi ya Kisutu Dar kwa maziko.…

 

10 years ago

Mtanzania

Nchi 16 wamzika Brigedia Jenerali Mbita

Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

VIONGOZI wa nchi mbalimbali za Afrika jana walijitokeza kuaga mwili wa aliyekua katibu mtendaji wa kamati ya ukombozi kusini Afrika, Brigedia Jenerali Hashim Mbita katika Hosipitali ya jeshi ya Lugalo, Dar es salaam.

Mbali na nchi hizo, Rais Jakaya Kikwete aliongoza kuaga mwili wa marehemu Mbita akifuatana na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda pamoja na viongozi waandamizi wa jeshi na vyama vya siasa.
Mwili wa Mbita uliagwa jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani