Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE ANATAFUTWA NDOA INATENGENEZWA

JAMANI mu hali gani, najua mko poa, yangu hali  bulibuli, nami ni miongoni mwa watu waliopendelewa na Mwenyezi Mungu kuendelea kuvuta pumzi yake huku nikitabasamu na kuonesha meno yangu mawili ya dhahabu. Wenye kisokolo kwinyu utawasikia ninajishaua, jamani ungelionaje jino langu la dhahabu bila kutabasamu? Ungekuwa utunda hapo ungesema kwa vile umefichwa na nguo zaidi ya tatu na anayetakiwa kuuona ni laazizi wako, japo siku...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa


Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume.
Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi wa kina kufuatia dalili hizi ni muhimu sana.
Zifuatazo hapa chini...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanamke adaiwa kuiba mtoto kulinda ndoa

POLISI mkoani Rukwa wanamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chanji, Manispaa ya Sumbawanga, Magreth Juma (34) akituhumiwa kuiba mtoto wa kike mwenye umri wa siku mbili ili asiachike katika ndoa yake, kwa kuwa hajabahatika kumzalia mtoto mumewe.

 

9 years ago

GPL

MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI NA BAADA YA TENDO LA NDOA

WAPO ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata furaha, wao wanasikia maumivu, wanaume ni mara chache sana kulinganisha na wanawake. Mwanamke ndiye husumbuliwa zaidi na tatizo hili. Mwanamke anaweza kukosa kuhisi furaha na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni, ukeni au kwa ndani zaidi. Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo la ndoa ambapo ndiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanamke aliyefunga ndoa na mbwa london anatukumbusha nini?

Majuma mawili yaliyopita, habari za mwanamke wa London aliyeoana na mbwa wake aitwaye Sheba zilitangazwa na gazeti la Metro.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanamke wa Kizambia achepuka nje ya ndoa na kuzaa mtoto wa kichina

cheating-wife-e1430375258832

Wonders they say shall never end. A married woman from Kitwe, Bulangililo in Zambia displayed another strange act by cheating on her husband. The act eventually leads to the birth of a baby with Asian look and characteristics. Some neighbors of the couple in question suspects that Eunice Kalyolyo, 22, the wife of Chewe Kalyolyo, a bus driver, 26 years, might have stolen the baby. Kopalatimes insists she gave birth to the Chinese baby following the pregnancy from her Chinese former...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliye kwenye ndoa anaweza kuamua kutopata watoto ?

Wanja Kimani hana hamu ya kupata watoto wakati Hazel Gachoka alitumia mamilioni ya fedha ili aweze kujaliwa kupata watoto.

 

5 years ago

BBCSwahili

Caro Nduti: Mwanamke aliyekuwa katika ndoa na binamu yake

Caro Nduti ni mama ya watoto wawili, jana wawili ambao anawathamini sana ; anasema kuwa kwa muda wa miaka mine ndoa yake ilifana sana, lakini hayo haya kudumu. Alimsimulia Anne Ngugi

 

9 years ago

Bongo5

Binti wa Askofu Desmond Tutu afunga ndoa na mwanamke mwenzake

Mpho+Tutu

Canon Mpho Tutu‚ mtoto wa Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini amefunga ndoa na mwanamke mwenzake, Professor Marceline Furth kwenye sherehe ndogo iliyofanyika Alhamis iliyopita nchini Uholanzi.

page (1)

Canon Tutu ni Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Desmond & Leah Tutu Legacy Foundation. Professor van Furth ni mhadhiri wa Paediatric Infectious Diseases kwenye chuo kikuu cha Vrije cha jijini Amsterdam.

Hiyo ndio ya pili kwa wote wawili. Ndoa yao itasherehekewa mjini ted in Cape Town May 2016.

Jiunge...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE KABLA YA NDOA, ANATAKIWA AWE ‘AMETOKA’ NA WANAUME WANGAPI?

NIswali gumu lakini jepesi kwa mtazamo. Wengi wamekuwa wakiingia katika mjadala huu bila ya kujua suala lenyewe lina sura mbili tofauti. HAITAKIWI
Kwa majibu ya maandiko matakatifu mwanamke na mwanaume hawana ruhusa ya kukutana kimwili mpaka pale watakapopata baraka halali ya kuishi kama mume na mke. Kwa hiyo kumbe hakutakiwi kuwa na idadi! Baraka hizi kwa siku hizi zinatoka makanisani (kwa Wakristo), misikitini (kwa Waislamu)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani