Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamume ajaribu kumuigiza Lowassa

Kando na siasa, kumekuwepo na uigizaji wakati wa kampeni. Bwana huyu alikuwa akimuigiza mgombea urais wa Chadema Edward Lowassa eneo la Maisara, Zanzibar. Alifanikiwa?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi UDOM ajaribu kujiua

MWANAFUNZI Chuo Kikuu cha Dodoma ( UDOM), Kitivo cha Sayansi ya Jamii, Kamugisha Isack anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kutaka kujiua.

 

10 years ago

Raia Mwema

Jogoo ni Magufuli, mwingine ajaribu baadaye

SASA kumekucha, jogoo limekwisha wika Dodoma, kada wa CCM apewe kura za ndiyoooo!

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajaribu kujizika kukwepa matatizo ya ndoa Kenya

Mwanamume mmoja nchini Kenya aliwaacha wakazi vinywa wazi baada ya kujichimbia kaburi na hata kujaribu kujizika mwenyewe kutokana na alichosema ni matatizo ya ndoa.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa ugaidi ajaribu kujiua kwa kujirusha ghorofani

Mtu anayedaiwa kuwa mratibu wa matukio ya ugaidi, uporaji wa silaha na mauaji katika vituo vya polisi , Ally Ulature (60) amejeruhiwa baada ya kujirusha katika ghorofa  kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni azimio la kujiua  au kutoroka.

 

10 years ago

BBCSwahili

Achumbia mwanamke akidhani ni mwanamume

Msichana aliyempenda mpenziwe wa dhati nchini Uingereza hakuamini alipogundua kuwa mwanamume huyo alikuwa amezaliwa msichana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamume agongwa na treni, afa

MWANAMUME anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 25 hadi 30, amefariki dunia baada ya kugongwa na treni, eneo la Mabibo Muleba, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamume aliyenunua Google $12 azawadiwa

Mwanamume mmoja aliyefanikiwa kununua na kumiliki anwani ya Google.com kwenye mtandao kwa $12 pekee amezawadiwa na kampuni hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamume mwenye wapenzi 17,China.

Mwanamume mmoja nchini China, aliomba ardhi ipasuke baada ya kupata ajali na kutembelewa na mabibi zake kumi na saba, hospitali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani