Mwananchi haihusiki na uhuni huu
KAMPUNI ya Mwananchi Communications Limited (MCL) inalaani uhuni ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya watu ya kutengeneza gazeti feki kwenye mitandao ya kijamii.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Halmashauri, Tanroads acheni uhuni huu
NILIFURAHISHWA na katuni moja katika gazeti hili hivi majuzi inayomuonyesha askari akimhoji mtu aliyemkuta akinywa pombe wakati wa kazi. Majibu ya mlevi yule ilikuwa ni kumtaka askari aache kumbughudhi mhimili...
5 years ago
MichuziMwananchi apanga kufungua shauri,Mahakama izuie uchaguzi mwaka huu,fedha zielekezwe kupambana na Corona
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwananchi mmoja anaefahamika kwa jina la Johnson Mgimba mkazi wa Njombe Mjini amesema kutokana na ugonjwa wa covid19 kuendelea kushika kasi nchini na duniani kote , amekusudia kufungua kesi katika mahakama kuu kanda ya Iringa ya kuomba serikali kusitisha mchakato na maandalizi ya uchaguzi mkuuu na fedha iliyotengwa kuelekezwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo.
Raia huyo ambaye amejibatiza jina la kijana mzalendo amesema kuna kila sababu ya kusitisha uchaguzi...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Kijiwe chalaani uhuni mjengoni
BAADA ya mura Were-maa anayeitwa jaji na mwanasheria mkubwa kulikoroga huku wakubwa zake wakikenua, kijiwe kimeamua kujitoa kimasomaso na kulaani uhuni wake na wa wenzake, hasa wale wanaomkingia kifua au...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Uhuni, utoto vitalisambaratisha taifa
RAIS wangu, lilipoibuliwa wazo ovu la vua gamba, timamu hawakushangaa. Jambo la kihuni au la kitoto haliwezi kumshtua mtu mzima. Lilizuliwa kitoto, likatekelezwa kihunihuni na lilipomalizwa kijingajinga, wachezaji wakabaki kuonekana...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Tusiuvumilie uhuni aliofanyiwa Warioba
SERIKALI imeelezea “ kusikitishwa” kwake na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba hivi karibuni katika Hoteli ya Blue Pearl,...
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Kijiwe chalaani uhuni dhidi ya Warioba
JAPO nguli Jose Shinda Warioba si mwanakijiwe wetu, huwa tunamzimii hasa kwa utaua na usafi wake ukiachia mbali ujasiri wake wa kupambana na ufisadi na ushenzi hasa uchakachuaji wa Katiba....
11 years ago
Mwananchi09 Aug
MAONI: Sanaa siyo uhuni, tukuze vipaji
10 years ago
Mwananchi03 May
SAFU: Urasta mwafrika mwenzangu siyo bangi, uchafu, uhuni wala ujambazi