Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhuni, utoto vitalisambaratisha taifa

RAIS wangu, lilipoibuliwa wazo ovu la vua gamba, timamu hawakushangaa. Jambo la kihuni au la kitoto haliwezi kumshtua mtu mzima. Lilizuliwa kitoto, likatekelezwa kihunihuni na lilipomalizwa kijingajinga, wachezaji wakabaki kuonekana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Tusiuvumilie uhuni aliofanyiwa Warioba

SERIKALI imeelezea “ kusikitishwa” kwake na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba hivi karibuni katika Hoteli ya Blue Pearl,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kijiwe chalaani uhuni mjengoni

BAADA ya mura Were-maa anayeitwa jaji na mwanasheria mkubwa kulikoroga huku wakubwa zake wakikenua, kijiwe kimeamua kujitoa kimasomaso na kulaani uhuni wake na wa wenzake, hasa wale wanaomkingia kifua au...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwananchi haihusiki na uhuni huu

KAMPUNI ya Mwananchi Communications Limited (MCL) inalaani uhuni ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya watu ya kutengeneza gazeti feki kwenye mitandao ya kijamii.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kijiwe chalaani uhuni dhidi ya Warioba

JAPO nguli Jose Shinda Warioba si mwanakijiwe wetu, huwa tunamzimii hasa kwa utaua na usafi wake ukiachia mbali ujasiri wake wa kupambana na ufisadi na ushenzi hasa uchakachuaji wa Katiba....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Halmashauri, Tanroads acheni uhuni huu

NILIFURAHISHWA na katuni moja katika gazeti hili hivi majuzi inayomuonyesha askari akimhoji mtu aliyemkuta akinywa pombe wakati wa kazi. Majibu ya mlevi yule ilikuwa ni kumtaka askari aache kumbughudhi mhimili...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Sanaa siyo uhuni, tukuze vipaji

>Wakati vijana wa kizazi kipya walipoingia katika medani ya muziki, walijikita zaidi katika utamaduni wa magharibi,  hali iliyokuwa haiendani na maadili na utamaduni wa Mtanzania, hivyo  jamii iliichukulia muziki huo kama ni wa kihuni.

 

11 years ago

GPL

RECHO: NIMEACHA UTOTO

Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’. Pasipo kuainisha matukio ya utoto aliyoyafanya, Recho alisema:
“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Utoto’ Bunge la Katiba

UMBUMBUMBU wa wajumbe wengi wa Bunge Maalumu la Katiba kutoisoma na kuielewa vizuri Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013, umesababisha kwa asilimia kubwa Bunge hilo kushindwa kuanza vikao...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe akerwa na utoto bungeni

>Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,amekemea vikali tabia ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba,kuzomeana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani