RECHO: NIMEACHA UTOTO
![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqoCUxMpuHvHy4BEgDYgmDSJrDPZIP729LIl2tAp73vJy4FauyIoxLy2ZeCINwMn3VCR1CiZoUoZ-vgS1Ar2iRrz/snura.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’. Pasipo kuainisha matukio ya utoto aliyoyafanya, Recho alisema: “Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies08 Mar
Jimmy:Nimeacha Kuvuta Bangi!
Mtayarishaji na mwigizaji wa filamu, Jimmy Mafufu amefunguka kwa kuweka wazi kama alikuwa ni mtumiaji wa kilevi hatari aina ya bangi lakini anashukru Mungu ameacha kutumia kilevi hicho sambamba na sigara na pombe kwani ni Mjukuu wa Askofu Asumwisye Mwaisabila.
“Toka niache kuvuta sigara nina mwezi mmoja nilianza kuacha pombe nikaacha kuvuta Bangi, nakupa ushuhuda unajua mimi ni mjukuu wa Askofu Asumwisye Mwaisabila mwalimu wa watu wa Mungu,”anasema Jimmy.
Jimmy ambaye hajabaisha Babu yake...
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Juma Nature: Pombe nimeacha tangu mwaka jana
KAMA kawaida ya safu hii inakuletea maisha ya watu mbalimbali maarufu kuona wanaishi vipi katika maisha yao ya kawaida. Leo tunaye mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva na kiongozi wa kundi la Wanaume Halisi, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature.
Juma Nature ni miongoni mwa wanamuziki wachache walioweza kudumu katika Bongo Fleva kwa muda mrefu na kuwa na mashabiki wengi ndani na nje ya Tanzania.
Mwanamuziki huyo alikuja na mtindo wa kipekee katika muziki wake na...
9 years ago
Mwananchi11 Oct
MR BLUE :Sasa nimeacha kuvuta bangi asema ukiamua unaweza
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
‘Utoto’ Bunge la Katiba
UMBUMBUMBU wa wajumbe wengi wa Bunge Maalumu la Katiba kutoisoma na kuielewa vizuri Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013, umesababisha kwa asilimia kubwa Bunge hilo kushindwa kuanza vikao...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlpTXAK0KsHkQJT4r2OosEdgRmzK4u5ui2Q7ZFjh8gjmxcZOjF6Hhpw14xSK6tWghpaktEB*ohFVeZuJczu3Fku/10.jpg)
LULU NI UTOTO TU, AKIKUA ATAACHA!
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Mbowe akerwa na utoto bungeni
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Uhuni, utoto vitalisambaratisha taifa
RAIS wangu, lilipoibuliwa wazo ovu la vua gamba, timamu hawakushangaa. Jambo la kihuni au la kitoto haliwezi kumshtua mtu mzima. Lilizuliwa kitoto, likatekelezwa kihunihuni na lilipomalizwa kijingajinga, wachezaji wakabaki kuonekana...
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Zlatan:Wachezaji wa Chelsea wana 'utoto'
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Butiku: Kinachofanyika Bunge la Katiba ni utoto
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kitendo kinachoendelea sasa hivi katika Bunge la Katiba ni cha kitoto kutokana na ukweli kwamba katiba haiwezi kupatikana kwa kupitishwa...