LULU NI UTOTO TU, AKIKUA ATAACHA!
![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYlpTXAK0KsHkQJT4r2OosEdgRmzK4u5ui2Q7ZFjh8gjmxcZOjF6Hhpw14xSK6tWghpaktEB*ohFVeZuJczu3Fku/10.jpg)
NADHANI ndicho kitu pekee ninachoweza kusema, ili kuweza kwenda sawa na muigizaji Elizabeth Michael, ambaye mashabiki wake wanamfahamu zaidi kama Lulu. Kwamba binti huyu mwenye umri wa miaka 19 sasa, anasumbuliwa na utoto ambao bila shaka akishapevuka, ataachana nao! Niwe mkweli, sijawahi kukutana na binti huyu, iwe kikazi au kwa bahati mbaya. Nimekuwa nikimsikia tu, ingawa kwa nature ya kazi yangu, nafuatilia kwa karibu sana...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies07 Nov
Masanja Kwenye Foleni ya Ubunge Ludewa.. Ataacha Komedi? Asipopita? Viatu vya Marehemu?
Uchaguzi Mkuu Tanzania umekwisha na zile headlines mfululizo kuhusu Siasa zimeanza kupungua pia, lakini hazijaisha… YES !! Bado headlines zitaendelea kutufikia kwa sababu kuna Majimbo ambayo Uchaguzi ulisogezwa mbele baada ya kutokea matatizo mbalimbali ikiwemo Wagombea wake kufariki.
RIP Marehemu Deo Haule Filikunjombe… stori inagusa Jimbo lake sasahivi, ni Jimbo la Ludewa lililopo Mkoa wa Njombe.
Mchakato kwenye Jimbo hilo umeanza, kwa upande wa CCM ndio kumeshika kasi yenyewe, kwenye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqoCUxMpuHvHy4BEgDYgmDSJrDPZIP729LIl2tAp73vJy4FauyIoxLy2ZeCINwMn3VCR1CiZoUoZ-vgS1Ar2iRrz/snura.jpg?width=650)
RECHO: NIMEACHA UTOTO
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
‘Utoto’ Bunge la Katiba
UMBUMBUMBU wa wajumbe wengi wa Bunge Maalumu la Katiba kutoisoma na kuielewa vizuri Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013, umesababisha kwa asilimia kubwa Bunge hilo kushindwa kuanza vikao...
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Mbowe akerwa na utoto bungeni
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Uhuni, utoto vitalisambaratisha taifa
RAIS wangu, lilipoibuliwa wazo ovu la vua gamba, timamu hawakushangaa. Jambo la kihuni au la kitoto haliwezi kumshtua mtu mzima. Lilizuliwa kitoto, likatekelezwa kihunihuni na lilipomalizwa kijingajinga, wachezaji wakabaki kuonekana...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Raza: Tuache utoto tujadili Katiba
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Zlatan:Wachezaji wa Chelsea wana 'utoto'
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
Butiku: Kinachofanyika Bunge la Katiba ni utoto
MKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kitendo kinachoendelea sasa hivi katika Bunge la Katiba ni cha kitoto kutokana na ukweli kwamba katiba haiwezi kupatikana kwa kupitishwa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--sp_y3XKsFk/ViNRmVVgTeI/AAAAAAAIAsU/fiCC1YTFiaA/s72-c/Child-soldier-2%2B-%2BCopy.jpg)
WATOTO BADO WANAENDELEA KUDHULUMIWA UTOTO WAO- UMOJA WA MATAIFA
![](http://3.bp.blogspot.com/--sp_y3XKsFk/ViNRmVVgTeI/AAAAAAAIAsU/fiCC1YTFiaA/s640/Child-soldier-2%2B-%2BCopy.jpg)