Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATOTO BADO WANAENDELEA KUDHULUMIWA UTOTO WAO- UMOJA WA MATAIFA

 Picha hii kutoka maktaba inamwonyesha mtoto ambaye anatumika kama askari na hivyo kumnyima haki yake ya msingi ya kuishi utoto wake,  pamoja na kupata huduma zake za msingi kama vile afya, elimu, malenzi na ukuaji  wenye hadhi. Pamoja na  Umoja wa Mataifa kuendelea na kampeni yake ya kupinga watoto  kutumika kama askari, bado  taarifa za hivi karibu za Umoja wa Mataifa, zinaeleza kuwa watoto bado wanaendelea kutumika katika baadhi ya maeneo kama askari,  huku wengine wakiingizwa katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kikwete anguruma Umoja wa Mataifa

RAIS Jakaya Kikwete amesema kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na wanachama wote wa Umoja wa Mataifa (UN) kufikia makubaliano ya malengo mapya ya maendeleo baada ya malengo ya awali (Malengo ya Milenia- MDG) kufikia hatima yake mwaka wa kesho.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete apongezwa Umoja wa Mataifa

UMOJA wa Mataifa (UN) umempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kutoa uraia wa Tanzania kwa waliokuwa wakimbizi 162,156 wa Burundi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa kuchunguza kashfa

Umoja wa Mataifa umeunda kamati huru kuchunguza kashfa ya udhalilishaji watoto nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati

 

9 years ago

Mtanzania

Chadema yamshtaki JK Umoja wa Mataifa

Mallya-wa-Chadema--620x309NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mallya, amesema wamemshtaki Rais Jakaya Kikwete kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-Moon, kutokana na kauli ya kuwatisha wanaotaka kulinda kura kwamba wataona.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu sheria inavyoruhusu wananchi wenye shughuli za aina gani wakae ndani ya mita 200 na wale wanaoruhusiwa kukaa nje ya mita 200.

“Kifungu cha sheria...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 9 wa Umoja wa Mataifa wauawa

Ujumbe wa Umoja wa mataifa nchini Mali unasema kuwa wanajeshi tisa wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuawa nchini Mali.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA

Balozi Tuvako Manongi ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sita ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akimkaribisha Rais wa Baraza Kuu la 69 la Umoja wa Mataifa, Bw. Sam Kutesa ( wa kwanza kushoto) kuwazungumza wajumbe wa Kamati hiyo ya Sita ambayo jukumu lake ni kuratibu na kuendesha mijadala yote inayohusu masuala ya sheria. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo mwenyekiti wa Kamati hiyo kwa kipindi cha mwaka moja. Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amekuwa akitembelea na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Umoja wa mataifa kuchukua hatua Yemen

Baraza la usalama la UN limesema kuwa liko tayari kuchukua hatua zaidi iwapo waasi wa Houthi hawatarudi katika mazungumzo

 

10 years ago

Mwananchi

CAG kuongoza Bodi ya Umoja wa Mataifa

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG), Profesa Mussa Assad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) nafasi atakayoanza kuitumikia kuanzia Januari Mosi, mwakani.

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ALONGA UMOJA WA MATAIFA

 Naibu Waziri wa  Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Mwigulu Nchemba ( Mb) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu masuala ya  Ushirikiano wa Kimaendeleo uliofanyika kwa siku mbili hapa Umoja wa Mataifa. Mhe. Naibu  Waziri  alikuwa mmoja wa wanajopo wanne walioendesha majadiliano hayo. Katika mchango wake, Naibu  Waziri pamoja na mambo mengine amesisitiza  kuwa  Ushirikiano wa Kimaendeleo bado  una mchango mkubwa katika ufanikishaji wa  suala zima la maendeleo endelevu lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani