Chadema yamshtaki JK Umoja wa Mataifa
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mallya, amesema wamemshtaki Rais Jakaya Kikwete kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-Moon, kutokana na kauli ya kuwatisha wanaotaka kulinda kura kwamba wataona.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu sheria inavyoruhusu wananchi wenye shughuli za aina gani wakae ndani ya mita 200 na wale wanaoruhusiwa kukaa nje ya mita 200.
“Kifungu cha sheria...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo20 Oct
Chadema: yamshtaki Kikwete UN.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/CDM-20Octboer.png)
Mwanasheria wa Chadema, John Mallya, aliwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa barua hiyo waliituma UN jana.
Mallya alisema lengo la barua ni kumshtaki Rais Kikwete kwa mataifa mengine kutokana na kauli yake ya kuwatisha Watanzania aliyodai aliitoa Oktoba 14, mwaka huu ya kuwataka wapigakura kuondoka...
10 years ago
BBCSwahili04 Oct
Wanajeshi 9 wa Umoja wa Mataifa wauawa
10 years ago
Habarileo17 Oct
Kikwete apongezwa Umoja wa Mataifa
UMOJA wa Mataifa (UN) umempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kutoa uraia wa Tanzania kwa waliokuwa wakimbizi 162,156 wa Burundi.
10 years ago
VijimamboTASWIRA KUTOKA UMOJA WA MATAIFA
10 years ago
Habarileo27 Sep
Kikwete anguruma Umoja wa Mataifa
RAIS Jakaya Kikwete amesema kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na wanachama wote wa Umoja wa Mataifa (UN) kufikia makubaliano ya malengo mapya ya maendeleo baada ya malengo ya awali (Malengo ya Milenia- MDG) kufikia hatima yake mwaka wa kesho.
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Umoja wa Mataifa kuchunguza kashfa
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Umoja wa Mataifa walaumiwa kuhusu Syria
9 years ago
Habarileo25 Sep
Umoja wa mataifa kuandika historia nyingine
VIONGOZI wakuu wa nchi na serikali zaidi ya 150 kutoka mataifa mbalimbali duniani (leo) Septemba 25,watapitisha ajenda na malengo mapya ya maendeleo endelevu (Ajenda 2030) kuchukua nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) yanayomaliza muda wake mwishoni mwa mwaka huu.
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Umoja wa Mataifa waonya hatari ya Ebola