Masanja Kwenye Foleni ya Ubunge Ludewa.. Ataacha Komedi? Asipopita? Viatu vya Marehemu?
Uchaguzi Mkuu Tanzania umekwisha na zile headlines mfululizo kuhusu Siasa zimeanza kupungua pia, lakini hazijaisha… YES !! Bado headlines zitaendelea kutufikia kwa sababu kuna Majimbo ambayo Uchaguzi ulisogezwa mbele baada ya kutokea matatizo mbalimbali ikiwemo Wagombea wake kufariki.
RIP Marehemu Deo Haule Filikunjombe… stori inagusa Jimbo lake sasahivi, ni Jimbo la Ludewa lililopo Mkoa wa Njombe.
Mchakato kwenye Jimbo hilo umeanza, kwa upande wa CCM ndio kumeshika kasi yenyewe, kwenye...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
Masanja aangukia pua kwenye kura za maoni ya ubunge Ludewa
![Masanja Mkandamizaji](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Masanja-Mkandamizaji-300x194.png)
Mchekeshaji, Masanja Mkandanizaji ameangukia pua katika kura za maoni za ubunge katika jimbo la Ludema baada ya kupata kura chache.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Deo Ngalawa aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501.
Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21)...
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Natosha kuvaa viatu vya ubunge wa Dewji Singida mjini- Hasan Mazala
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Manispaa ya Singida, Hassan Mazala akionesha vijana fomu yake ya kuwania ubunge Jimbo la Singida Mjini jana kwenye ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoani Singida.
Mazala akiwaasa vijana kufanya kazi kwa nguvu katika jimbo hilo.
Mkinipa nafasi ya kuwatumikia mambo yatanyooka namna hii.
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Singida Mjini Hassan Mazala akisistiza jambo kwa vijana waliomsindikiza kuchukua fomu.
Baadhi ya vijana wakiwa katika picha ya pamoja na Hassan...
9 years ago
Bongo506 Nov
Masanja Mkandamizaji ajitosa kumrithi Filikunjombe Ludewa
![11950556_494360970724890_593438941_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11950556_494360970724890_593438941_n-300x194.jpg)
Mchekesha wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji amekuwa miongoni mwa wagombea sita waliojitokeza kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Ludewa, Njombe kwa tiketi ya CCM.
Uchaguzi katika jimbo la Ludewa uliahirishwa baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge na mgombea wa jimbo hilo, Deogratius Filikunjombe.
Mwingine aliyejitokeza kwenye kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM ni mdogo wa marehemu, Philipo Filikunjombe.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Katibu wa CCM wilaya ya Ludewa, Luciano...
9 years ago
Bongo Movies14 Nov
Masanja Asema Sababu Zilizomfanya Ashindwe Jimbo la Ludewa
Mwigizaji wa filamu za vichekesho,Masanja alikuwa ni mmoja kati makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) waliochukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Ludewa kwa ajili ya kumrithi aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo aliyefariki kwenye ajali ya helkopta,marehemu Deo Fulikunjombe amezungumza sababu ya kushindwa kwenye amezungumzia sababu kushindwa kwenye kinyang’anyiro hicho,alipata kura 19 huku mshindi ambaye ni Deo Ngalawa akiibuka kwa kura 537.
’Cha kwanza kabisa ambacho sikutegemea nilichokuwa...
9 years ago
Bongo Movies11 Nov
Maneno ya Masanja Baada ya Kushindwa Kura za Maoni Ludewa..
10 years ago
GPLMTANGAZA NIA UBUNGE LUDEWA AANGUKIA PUA NAFASI YA NEC, AAPA KUTOKUGOMBEA UBUNGE
11 years ago
CloudsFM04 Jun
9 years ago
Habarileo22 Dec
CCM washinda ubunge Masasi, Ludewa wanukia
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kutamba katika chaguzi ndogo baada ya kushinda katika Jimbo la Masasi mkoani Mtwara huku ikiwa na kila dalili ya kutangazwa mshindi Ludewa mkoani Njombe.
9 years ago
Mwananchi11 Nov