Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM washinda ubunge Masasi, Ludewa wanukia

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kutamba katika chaguzi ndogo baada ya kushinda katika Jimbo la Masasi mkoani Mtwara huku ikiwa na kila dalili ya kutangazwa mshindi Ludewa mkoani Njombe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM kidedea Masasi, Ludewa

Mgombea ubunge wa Masasi (CCM), Chuachua Rashid ameshinda kwa kupata kura 16, 597 dhidi ya mgombea wa CUF, Ismail Makombe ‘Kundambanda’ aliyepata kura 14, 069.

 

9 years ago

Mwananchi

CUF kicheko Masasi, CCM Ludewa

Wakati CUF ilionekana kuongoza katika vituo vya awali kwenye uchaguzi wa ubunge Jimbo la Masasi, CCM imeonekana kuamba katika hatua hiyo katika uchaguzi mwingine kama huo Jimbo la Ludewa.

 

9 years ago

Global Publishers

CCM yanyakua ubunge jimbo la Masasi

33Mbunge Mteule wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CCM, Bw. Rashid Chuachua.

Chama cha Mapinduzi kimeweza kutetea jimbo lake la Masasi katika uchaguzi ulifanyika jana baada ya kuahirishwa Okt. 25 mwaka huu kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha NLD, Dkt. Emamanuel Makaidi kufariki Dunia huko Nyangao mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotangazwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jimbo la Masasi, Fortunatus Kagoro amesema kuwa Bw. Rashid...

 

9 years ago

Mwananchi

9 years ago

GPL

CCM LUDEWA YAMPITISHA NGALAWA KUWANIA UBUNGE

Kada wa CCM, Deo Ngalawa. NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38). ...

 

5 years ago

Michuzi

HATUTAKI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUWANADI WAGOMBEA NAFASI YA UBUNGE NA UDIWANI-CCM LUDEWA

Chama cha mapinduzi wilayani Ludewa Mkoani Njombe kimesema hakitaki kutumia nguvu nyingi kuwanadi wagombea  wa nafasi ya Ubunge na udiwani, hivyo wagombea hao wanapaswa kuhakikisha wanakubalika katika jamii.

Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilaya Bakari Mfaume katika mkutano wa kamati kuu ya chama hicho uliolenga kujadili utaratibu na mchakato mzima wa uchukuaji fomu za kugombea nafasi hizo.

Alisema kuwa kwa sasa hawataki kukata viuno majukwaani na kuongea sana ili kumfanya akubalike...

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMTEUA NDUGU DEOGRATIUS NGALAWA KUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA




Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM iliyofanyika leo tarehe 12 Novemba, 2015 chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete imemteua Ndugu Deogratius Ngalawa kuwa mgombea wake wa Ubunge katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe.
Ndugu Ngalawa ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kushinda kura za maoni zilizofanyika Novemba 10, 2015.Taarifa Rasmi - Ubunge Ludewa-

 

9 years ago

IPPmedia

Masasi, Ludewa voting today in by-elections


Masasi, Ludewa voting today in by-elections
IPPmedia
Residents of Masasi Urban and Ludewa constituencies will today cast their votes for candidates of a parliamentary seat, following the cancellation of the parliamentary poll for two constituencies by the National Electoral Commission (NEC) during the ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani