Natosha kuvaa viatu vya ubunge wa Dewji Singida mjini- Hasan Mazala
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Manispaa ya Singida, Hassan Mazala akionesha vijana fomu yake ya kuwania ubunge Jimbo la Singida Mjini jana kwenye ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoani Singida.
Mazala akiwaasa vijana kufanya kazi kwa nguvu katika jimbo hilo.
Mkinipa nafasi ya kuwatumikia mambo yatanyooka namna hii.
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Singida Mjini Hassan Mazala akisistiza jambo kwa vijana waliomsindikiza kuchukua fomu.
Baadhi ya vijana wakiwa katika picha ya pamoja na Hassan...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Mwalimu Mussa Ramadhan Sima, atangazwa kuvaa viatu vya MO jimbo la Singida mjini
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Singida mjini, Joseph Mchina (kulia) akimkabidhi Mwalimu Mussa Ramadhan Sima, cheti cha ushindi wa ubunge jimbo la Singida mjini leo.
Na Nathaniel Limu, Singida
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia CCM, Dk.John Pombe Magufuli, amezoa kura 36,035 katika jimbo la Singida mjini sawa na asilimia 64.09 za kura zote 56,558 zilizopigwa.
Wagombea wengine wa nafasi ya urais na kura zao kwenye mabano kuwa ni mgombea wa Ukawa Lowassa Edward Ngoyai (19,007), mgombea wa ACT...
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Hassan Mazala apeta kura za maoni CCM jimbo la Singida mjini
Mshindi wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi ya Ubunge jimbo la Singida Mjini, Hassan Mazala akiwa katika moja ya shughuli za kuimalisha chama ndani ya jimbo hilo la Singida mjini (Picha na Maktaba ya modewjiblog).
Modewjiblog team
(Singida). Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa (MNEC) Manispaa ya Singida, Hassan Mazala ameweza kupenya kwenye kinyang’anyiro cha kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Singida Mjini, kwa...
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Nani wa kuvaa viatu vya Edward Sokoine?
9 years ago
Mwananchi18 Oct
Wanasiasa watakiwa ‘kuvaa viatu’ vya Filikunjombe
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
JUMA KAPONDA: Ninatosha kuvaa viatu vya Prof. Mwandosya
JOTO la uchaguzi mkuu linaendelea kushika kasi, huku kiu ya mabadiliko ikiwagusa wengi, baadhi yao wakitangaza nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.
Mwalimu Juma Kaponda, ambaye ni Ofisa Elimu ya Msingi Mkoa wa Dodoma, ametangaza nia kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania ubunge Jimbo la Rungwe Mashariki. Fuatana na mwandishi wetu Christina Mwagala katika mahojiano haya, ili kujua kwa undani dhamira ya Kaponda.
Raia Tanzania: Msomaji angependa kufahamu, wewe...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_7558.jpg)
BAADA YA KULITUMIKIA MIAKA 10 JIMBO LA SINGIDA MJINI, MO DEWJI AAGA RASMI, ASEMA HATAGOMBEA TENA
9 years ago
Bongo Movies07 Nov
Masanja Kwenye Foleni ya Ubunge Ludewa.. Ataacha Komedi? Asipopita? Viatu vya Marehemu?
Uchaguzi Mkuu Tanzania umekwisha na zile headlines mfululizo kuhusu Siasa zimeanza kupungua pia, lakini hazijaisha… YES !! Bado headlines zitaendelea kutufikia kwa sababu kuna Majimbo ambayo Uchaguzi ulisogezwa mbele baada ya kutokea matatizo mbalimbali ikiwemo Wagombea wake kufariki.
RIP Marehemu Deo Haule Filikunjombe… stori inagusa Jimbo lake sasahivi, ni Jimbo la Ludewa lililopo Mkoa wa Njombe.
Mchakato kwenye Jimbo hilo umeanza, kwa upande wa CCM ndio kumeshika kasi yenyewe, kwenye...
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Ziara ya kuimarisha chama ya MNEC manispaa ya Singida, Hassan Mazala
Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) taifa manispaa ya Singida, Hassan Philip Mazala, akizindua tawi la wajasiriamali wa Msimbazi kata ya Mwankoko.
![DSC00913](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC00913.jpg)
10 years ago
Bongo Movies11 Jan
VIJIMAMBO: Aunt Ezekiel Ajiwezi Hata Kuvaa Viatu!!
Mimba ya muigizaji Aunt Ezekiel imeanza kumtibua baada ya nyota huyo kushindwa kufanya baadhi ya kazi ambazo alikuwa akizifanya mwenyewe.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL, kutokana na tumbo kuwa kubwa, Aunt kwa sasa hawezi kufunga viatu vyake, kufua, kuosha vyombo na hata akitaka kwenda toileti inabidi apewe kampani na mtu.
“Mh! Jamani Aunt hata kuinama ni mtihani sasa sijui kama ni kujidekeza au nini maana anapokuwa karibu na bebi wake ndiyo usiseme ni full kudeka anasema akiinama anaumia...