Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanariadha wa kike achumbia msichana

Mwanariadha maarufu wa kike nchini Afrika Kusini, Caster Semenya haishi kuandamwa na visa, wakati huu akidaiwa kwamba amejipatia mchumba wa kike.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mwanariadha wa kike wa Afrika Kusini, Caster Semenya apata jiko!

Semenya 1

Mwanariadha controversial wa nchini Afrika Kusini, Caster Semenya amedaiwa kufunga ndoa.

Semenya 1

Taarifa zimedai kuwa Semenya alifunga ndoa ya kimila wikiendi iliyopita.

Semenya 2

Caster na mpenzi wake wa muda mrefu Violet Raseboya walisherehekea harusi yao huko Ga-Dikgale kwenye wilaya ya Capricorn ya Limpopo.

Hata hivyo ndugu zake wa karibu wamekanusha taarifa hizo huku wengine wakidai huenda ilikuwa ni sherehe ya kuchumbiana tu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akimvisha cheo cha Sajin wa Magereza, Askari Mwanariadha wa Kimataifa, CPL. Catherina Lange(hivi sasa cheo cha sajin) wa Gereza Kuu Arusha ambaye ambaye hushiriki mashindano mbalimbali ya riadha ya Kitaifa na Kimataifa hivyo kuliletea sifa Jeshi la Magereza na Taifa kwa ujumla. hafla hiyo imefanyika leo Januari 13, 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Da res Salaam.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA MAGEREZA ASKARI WA KIKE, MWANARIADHA WA KIMATAIFA JIJINI DAR

  Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akimvisha cheo cha Sajin wa Magereza, Askari Mwanariadha wa Kimataifa,  CPL. Catherina Lange(hivi sasa cheo cha sajin) wa Gereza Kuu Arusha ambaye ambaye hushiriki mashindano mbalimbali ya riadha ya Kitaifa na Kimataifa hivyo kuliletea sifa Jeshi la Magereza na Taifa kwa ujumla. hafla hiyo imefanyika leo Januari 13, 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Da res Salaam.
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza,...

 

10 years ago

CloudsFM

JOTI ACHUMBIA?

Mwigizaji wa vichekesho wa kundi la Orijino Komedi,Lucas Mhavile, ‘Joti’, amedaiwa kumvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kuelekea kwenye kufunga ndoa.
Picha iliyosambaa mtandaoni inaonyesha akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti ameonekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.

Hata hivyo Clouds FM imemtafuta Joti kuzungumzia picha hiyo kwenye simu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Achumbia mwanamke akidhani ni mwanamume

Msichana aliyempenda mpenziwe wa dhati nchini Uingereza hakuamini alipogundua kuwa mwanamume huyo alikuwa amezaliwa msichana.

 

5 years ago

BBCSwahili

Ellie na Nele: Wabadili jinsia kutoka ya kike hadi kiume na kurejesha ya kike tena

Wanaume wawili waliobadili jinsia na kubadili fikra zao katika ya safari yao ya maisha

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI TAULO ZA KIKE 'PEDI' ZA MIL 7.8 KWA WANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA 2020 Inbox x

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) akiwa ameshikilia Taulo laini za kike na wanafunzi wanaosoma darasa la saba katika shule mbalimbali katika halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 bogMbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi Taulo laini za kike ‘Pedi’ zinazofuliwa zenye thamani ya shilingi milioni 7.7 zilizotokana na mchango wake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanariadha wa S Leone akamatwa UK

Mwanariadha wa mbio fupi kutoka Sierra Leone ambaye amekuwa akilala katika barabara za mji wa Uingereza huenda akafukuzwa

 

10 years ago

Mwananchi

Ni mwanariadha aliyeiteka dunia

Jina Dennis Kipruto Kimetto linaweza kuwa geni kwa wengi, lakini huyu ni mwanadamu wa aina yake katika riadha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani