Mwanasheria Mkuu SMZ haujui waraka wa Kificho
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Masoud Othman Masoud amesema hajawahi kuuona waraka ulioandikwa na Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) na kusainiwa na Spika Pandu Ameir Kificho unaopendekeza Tanganyika na Zanzibar kuwa na mamlaka huru za dola na kuwasilishwa mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-BQ9L9imJgsw/VDRA32RgSnI/AAAAAAABbHU/dXh96zofOe8/s72-c/.......................................................................OthmanMasoudOthman.jpg)
RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-BQ9L9imJgsw/VDRA32RgSnI/AAAAAAABbHU/dXh96zofOe8/s640/.......................................................................OthmanMasoudOthman.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...
10 years ago
Habarileo22 Oct
Kificho ataka ushirikiano kwa Mwanasheria Mkuu mpya
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho amewataka wajumbe wa baraza hilo kutoa kila aina ya ushirikiano kwa Mwanasheria Mkuu mpya Said Hassan Said ili kuweza kutekeleza majukumu yake vizuri.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-BcZSXmMnNUU/Vfc1ldMP4GI/AAAAAAAH4zs/55Gq3DMP0so/s72-c/aaz.png)
JK ATEUA WAKUU WA MIKOA WAWILI, MGANGA MKUU WA SERIKALI, NAIBU MWANASHERIA MKUU NA MTENDAJI MKUU WA NDC
![](http://2.bp.blogspot.com/-BcZSXmMnNUU/Vfc1ldMP4GI/AAAAAAAH4zs/55Gq3DMP0so/s1600/aaz.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wawili wapya wa mikoa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na wakuu wa Mikoa ambao wanawania ubunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, Septemba 14, 2015 na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa katika uteuzi wake, Rais Kikwete amemteua Ndugu Amos Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Ndugu Jordan Rugimbana kuwa Mkuu...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0jvxFfaYQeY/UwJKWyXChiI/AAAAAAAFNo0/2kw_G8dwI2k/s72-c/images.jpg)
Naibu mwanasheria mkuu aomba mahakama kuu itupilie mbali kesi ya kikatiba dhidi ya waziri mkuu
![](http://4.bp.blogspot.com/-0jvxFfaYQeY/UwJKWyXChiI/AAAAAAAFNo0/2kw_G8dwI2k/s1600/images.jpg)
George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge yameondolewa.
Pia, Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi bunge halina mamlaka ya kuingilia mwenendo wa mahakama na kwamba kesi iliyopo mahakamani haina mashiko ya kisheria mahakama...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Madiwani Msalala wapinga waraka wa Waziri Mkuu
WARAKA wa Waziri Mkuu uliyosomwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga juu ya ujenzi wa makao makuu ya Halmashauri ya Msalala umepingwa na madiwani wa halmashauri hiyo. Akitoa...
10 years ago
VijimamboBARUA AMBAYO INADAIWA KATIBU MKUU WA NISHATI NA MADINI ALILAZIMISHWA KUANDIKA NA MWANASHERIA MKUU WEREMA ILI KUCHOTA PESA HUKO ESCROW
Na ukitaka kujuwa nini kimeandikwa kwenye magazeti ya ulaya kuhusu issue hii fungua link hapo chini
http://www.theguardian.com/global-development/2014/oct/13/uk-and-international-donors-suspend-tanzania-aid-after-corruption-claims
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmFIhqID0FqgvUfNlsmCriJ28Z5cIOqUpJFcMFEZW*WPHMMnI4NnYGfgKmpyof*awNdH66r3aX1IKE9UlXHBsQYaBVsVETQu/pinda.jpg)
KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW
10 years ago
Vijimambo16 Dec
MWANASHERIA MKUU AJIUZURU
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Mwanasheria Mkuu awakaanga mawaziri