Mwanawe Paul Walker aishtaki Porsche
Mwanawe marehemu msanii nguli wa 'Fast and Furious' Paul Walker ameishtaki kampuni ya kutengeneza magari ya Porsche kwa ajali iliyomuua babake
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Paul Walker aishtaki kampuni ya Porsche
9 years ago
Bongo527 Nov
Baba yake Paul Walker naye awashtaki Porsche kwa kifo cha mwanae
Baba yake na Paul Walker Jumatano hii amewasilisha mashtaka dhidi ya kampuni ya magari ya Porsche akidai kuwa gari ambalo mwanae alikuwa akiendesha lilikosa vitu vya kiusalama ambavyo vingeweza kuokoa maisha yake.
Muigizaji huyo wa Fast & Furious alifariki November 2013 kwenye ajali mbaya ya gari huko Santa Clarita, Calif., iliyomuua pia rafiki yake Roger Rodas, dereva wa gari aina ya 2005 Porsche Carrera GT.
Mashtaka hayo ni kama yale yaliyowasilishwa na mtoto wa Meadow, ...
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Paul Walker aingia orodha ya matajiri marehemu
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Wimbo wa Wiz Khalifa wawaliza mashabiki wa Paul Walker
WIMBO wa ‘See You Again’ ulioimbwa na wasanii mashuhuri, Wiz Khalifa na Charlie Puth, uliwaliza mashabiki wengi wa aliyekuwa mcheza filamu, Paul Walker, kutokana na maneno ya maombolezo pamoja na vipande vinavyomuonyesha mwigizaji huyo akiwa katika matukio mbalimbali katika filamu ya mwendelezo ya ‘Fast & the Furious franchise’.
Muongozaji wa video hiyo, James Wan, aliandika kupitia mtandao wa kijamii namna aambavyo walikuwa na fikra kabla Paulo Walker hajafariki katika ajali ya...
10 years ago
Africanjam.ComHOW "FAST & FURIOUS 7" COMPLETED UNFINISHED PAUL WALKER'S SCENES
Halfway through the filming of “Furious 7,” – currently a box office hit in cinemas world wide –Paul Walker tragically passed away in a car accident. His unfinished scenes were left in the hanging, with the directors left with the decision to wither scrap the movie or to continue with changes to the original plot.
However, with the help of Walkers’ brothers, Cody and Caleb, and computer-generated imagery (CGI), the film was completed and dedicated to the deceased actor.With the use of...
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet27 Mar
Why Vin Diesel's Promise to the Late Paul Walker Means 'Fast and the Furious' Franchise Ends With Lucky Number 10
10 years ago
Bongo503 Nov
Video: Trailer ya kwanza ya Furious 7 yaonesha scenes za mwisho za Paul Walker kabla hajafariki kwa ajali
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Mwanamke wa UAE aishtaki Kenya