Mwandishi kortini Dar
Mwandishi wa Habari, Timoth Kahoho (69) na Linus Bagenda (26) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu ya kula njama, kujitambulisha kuwa ni mawakili waliosajiliwa na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Wakili Mluge ajitolea kumtetea mwandishi kortini
WAKILI wa Kujitegemea, Karoli Mluge, amejitolea kumtetea mwandishi wa habari, Editha Majura, kudai makazi yake kwa wasimamizi wa mirathi ya baba mzazi wa watoto wake wawili, marehemu Samweli Komba. Shauri...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Mwandishi afariki dunia Dar
MWANDISHI wa habari mkongwe, Maurus Sichalwe, amefariki dunia jana nyumbani kwake Mwananyamala Kanisani, Dar es Salaam akiwa na umri wa miaka 83. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na...
10 years ago
MichuziMAMIA YAMUAGA MWANDISHI KAMUKARA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.
Akizungumza juu ya kifo chake ,Mwenyekiti wa...
10 years ago
Habarileo20 Jan
Mkazi Dar kortini akituhumiwa ugaidi
MKAZI wa Kitunda, Jihad Swalehe amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya Ugaidi na kuomba msaada wa vifaa, fedha na ujuzi wa kulipua mabomu kwa lengo la kuwadhuru watu wa Kenya.
10 years ago
Mwananchi04 Nov
Mwanamke Dar kortini kwa heroini
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Watuhumiwa wawili wa ugaidi kortini Dar
Waandishi Wetu, Dar na Tanga
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kutoa mafunzo ya ugaidi kwa vijana wa Tanzania mkoani Tanga.
Mmoja wao anaelezwa kuwa alikuwa pia akitoa mafunzo ya jeshi kwa kundi la Hizbul al lililotaka kuipindua serikali ya Somalia mwaka 2010.
Washtakiwa hao, Ally Nassoro au Dk. Sule na Juma Zuberi au Kitambi, walifikishwa jana katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Riwa.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Peter Njike akisoma...
10 years ago
Habarileo16 Oct
Kachero Kenya atoa ushahidi kortini Dar
MKUU wa Uchunguzi wa Maandishi wa Jeshi la Polisi Kenya, John Kimani ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwa saini zinazodaiwa kusainiwa na Ramadhani Balenga katika hati ya uhamishaji umiliki wa kiwanja pamoja na mkataba wa mauziano ni za kughushi.
11 years ago
Habarileo21 Mar
Waasia kortini kwa njama za kuteka Dar
WATU wawili wenye asili ya bara la Asia, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kupanga njama za kuteka nyara. Washitakiwa waliofikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashitaka mbele ya Hakimu Mkazi, Devotha Kisoka ni Adili Yusuph (24) na Mahul Kava (24).
9 years ago
Habarileo28 Aug
Mchina kortini Dar akidaiwa kukutwa na meno ya simba
RAIA wa China, Jianfeng Wu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na meno ya simba yenye thamani ya Sh milioni 10.1.