Mwandishi wa aljazeera akamatwa Ujerumani
Al Jazeera inasema kuwa mmoja wa waandishi wake wa habari amekamatwa nchini Ujerumani kufuatia ombi la Misri.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Mwandishi akamatwa Misri
Mwandishi habari na mpiga picha wa runinga Al- Jazeera ambaye anasoma nchini Misri amekamatwa na kuwekwa korokoroni .
10 years ago
GPLMWANDISHI WA UJERUMANI ALIFAGILIA GAZETI LA ‘UWAZI’
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto), akiongea na mwandishi Hawa Bihoga wa Idhaa ya Kiswahili Ujerumani (DW) ofisini kwake Sinza-Bamaga jijini Dar es Salaam. Bihoga alifika hapo kulipongeza gazeti la Uwazi na mwandishi Haruni Sanchawa.
Mrisho akiagana na Bihoga. MWANDISHI  wa Shirika la Habari Idhaa ya Kiswahili Ujerumani (DW), Hawa Bihoga,  ametoa pongezi kubwa kwa kampuni ya Global...
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Wanahabari 2 wa Aljazeera waachiliwa
Mahakama moja nchini Misri imeagiza kuachiliwa kwa dhamana kwa wanahabari wawili wa Aljazeera
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Oct
Aljazeera live leo hii
Leo Aljazeera wameanza kuonyesha siasa za zanzibar, na wanarudia kila baada ya muda, cha kunishangaza jicho la Aljazeera limetupia zanzibar tu, kuna nini zanzibar? 25 October Aljazeera inawezekana kurusha live uchaguzi huu,na hapa ulimwengu ndio utaitambua […]
The post Aljazeera live leo hii appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Wataka waandishi wa aljazeera kuachiwa
Mashirika ya habari duniani yashinikiza kuachiliwa huru kwa waandishi wa al-Jazeera nchini Misri
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania