Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi wa AP auawa Afghanistan

Mwandishi wa Associated Press ameuawa kwa kupigwa risasi na afisa wa polisi mashariki mwa Afghanistan.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi auawa Bangladesh

Mwandishi wa blogu asiyefungamana na masuala ya dini nchini Bangladesh ameuawa kwa kushambuliwa na watu wasiojulikana

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa Habari auawa Syria

Mwandishi habari mwenye asili ya Marekani auawa nchini Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Pakistan

Watu wenye silaha wamemuua kwa kumpiga risasi mwandish maarufu wa habari katika mji wa Karachi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwandishi wa habari auawa Somalia

Mwandishi mmoja wa habari wa kike ameaga dunia baada ya bomu kulipuka chini ya gari lake katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi Ukraine auawa kwa risasi

Mwandishi mmoja maarufu nchini Ukraine ameuawa na watu wasiojulikana kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuiunga mkono Urusi

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekani yashambuliwa Afghanistan

Mshambuliaji wa kujitolea muhanga huko nchini Afghanistan amewaua askari sita wa vikosi vya jeshi la Marekani .

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wauawa Afghanistan

Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi 11 wauawa Afghanistan

Wapiganaji wa Taliban nchini Afghanistan wamedaiwa kuwaua wanajeshi 11 katika jimbo la Herat magharibi mwa taifa hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Afghanistan yakubaliana na Marekani

Rais mpya wa Afghanistan ameweka sahihi mkataba utakaoruhusu wanajeshi takriban 12,000 wa Marekani kusalia nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani